Elections 2010 Wafanyakazi wapewa Pesa wamchague JK!

Elections 2010 Wafanyakazi wapewa Pesa wamchague JK!

hahaha mkuu ninaisoma hasira yako kwenye posts zako. naamini ungelikuwa na uwezo ungewacharaza viboko akina kikwete and the gang.
Nilikuwa mitaani jana na leo pale dar watu wanasema wazi kabisa kwamba wanajua kura yao wanampigia slaa. hata wanasisiemu na wajumbe wa kamati za viongozi wa shina wanasema hivyohivyo.
Ila kuna wazee wachache wameamua kufa na tai shingoni

Hapa maswa wananchi wamesema wanampa Dr Slaa kura nyingi kiasi kwamba hata ccm waibe na kujaza ktk magunia kama yale ya kubebea pamba ghalani still kura hazitawatosha. Kila mtu anaongelea kumpigia kura Slaa. Sijapata kuona muamko kama huu ktk chaguzi zote tatu nimeshiriki.
 
Duh jamani mwaka wa kutafuna pesa za MAJUHA ni huu mie natamani watafunwe pesa zao zote na kisha wapigwe chini.
Hakuna mfanyakazi mjinga atakaye mpa huyo jamaa yetu MIZENGWE. CHUKUENI PESA ZA KUSHANGILIA chadema TAREHE 1 KWA KWENDA MBELE. Hapo sasa sisiemu wamejikwaa na wataangukia pua trh 31. jamani hizo ni pesa zetu chukueni tu wataona chungu ya mwarobaini terehe 31. :bowl:
 
Waambie walalamike haitoshi waongezewe! YAANI KUUZA NCHI KWA PESA KIDUCHU HIVYOO WAPANDE DAU MKUU!
 
Back
Top Bottom