hahaha mkuu ninaisoma hasira yako kwenye posts zako. naamini ungelikuwa na uwezo ungewacharaza viboko akina kikwete and the gang.
Nilikuwa mitaani jana na leo pale dar watu wanasema wazi kabisa kwamba wanajua kura yao wanampigia slaa. hata wanasisiemu na wajumbe wa kamati za viongozi wa shina wanasema hivyohivyo.
Ila kuna wazee wachache wameamua kufa na tai shingoni