Wafanyakazi watakaokataa kujiunga na DP World watapelekwa kufanya kazi bandari nyingine. Je, TPA wamekabidhi bandari yote Dar kwa DPW?

Sisi wenyewe tumeshindwa kujisimamia. Bandari hiyo imeendeshwa na watanzania lakini wapigaji wakubwa ni sisi wenyewe. Nakumbuka kuna kipindi kina mchaga mmoja alikua anaendesha hiyo bandari somebody julius makundi nchi imeibwa hii watu hawalipi kodi mifumo ya mapato inachezewa. Sasa serikali imeona bora ije na mwekezaji ambaye atailipa serikali mapato kulingana na mkataba na atajipatia faida yake kuliko mwanzo mapato yanapotea.
 
Duuu kwaiyo huu ndo mwisho wa wazee wa bandari daresalama?
 
Kwa hiyo watanzania wanaamini DP World anakuja kuongeza ufanisi bandari ya DAR es salaam?

Tupeni mfano wa sherika au mali ya umma aliyopewa private sector ikanufaisha wananchi.

Manufaa ya wananchi siku zote yanatokana na wananchi wenyewe. Manufaa ya uwekezaji siku zote umewanufaisha wawekezaji.

Nilitegemea TPA na DP world wagawane maeneo ya uendeshaji kwa sababu zifuatazo

1. Kudhibiti mgeni kujiona yeye ndiye msimamizi wa bandari.

2. Kuwajengea uwezo Watanzania wengi zaidi

3. Kulinda maslahi ya Taifa pale mwekezaji anapopata hasara au menejimenti yake inapokwama kufikia malengo yaliyowekwa

4. Kushiriki moja kwa moja katika vikao rasmi vya uendeshaji .


Sisi tunaua shirika la umma na kukabidhi kazi zote kwa wageni kama ilivyo migodini. Leo hata watanzania kuingia kwenye premises za mwekezaji watalazimika kuzingatia masharti yao na siyo masharti ya sovereign state....Leo usishangae hata vyombo vya dola vikawekewa kikwazo kuingia ndani ya bandari. Huko migodini dola ikiingia mara zote si kwaajili ya kufanya uchunguzi
 
Hahaha kuna bandari ya ziwa victoria,kemondo,kuna kilwa ,kigoma ,bagamoyo,lindi,ukerewe,rufiji,
Kimsingi wanakwenda kukimbizana na mitumbwi na wavuvi wadogo wadogo hahahabaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kimsingi hawana kazi za kufanya maana vibandari hivyo ni vya mitumbwi na mashua hahahaha
 
Unapata faida gani kwenye maisha yako wafanyakazi wa bandari wakifukuzwa kazi? Watanzania wengi ni wajinga sana
Boss..wameambiwa wafanye kazi na DP World au waende bandari nyingine. Sina roho ya namna hiyo. Barua ya mamlaka ya bandari umeisoma? Kwenda bandari nyingine ni kufukuzwa kazi? Kufanya kazi na DP World ni kufukuzwa Kazi? Hofu ya kufanya kazi na DP World ni ya nini? Hofu ya kwenda bandari zingine ni ya nini?
 
Hawakuzoea kuishi kwa salaries zao. Walizoea madili..nchi ya madili. Ndio maana hatuendelei.dahh
 
Mkuu kila la kheri
 

Wazee wa DP worlddddddddddddddddddddddd πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…