#COVID19 Wafanyakazi watatu wa CNN wafukuzwa kazi kwa kufika Ofisini bila kupata Chanjo ya Covid-19

Upuuzi mtupu.
Tembelea kwenye mahospitali uone vile Hao jamaa wanavyotoa misaaada ya chanjo na madawa katika secta ya afya.

Siku ukienda klinik kupima ujauzito jaribu kusoma mabango yaliyobandikwa ukutani utajua J&H ni Akina Nani.
 

666 itakua lini mkuu kwa uelewa wako? Na wale watakaobaki/ tutakaobaki ni kipi tukitarajie?
 
Mama umeona huko...na wewe wakazie watumishi wa umma wote[emoji1787][emoji205][emoji1732]
Yaani alete huo upuuzi wakulazimishana kuchanjwa [emoji16][emoji3]ajaribu tu aone response in short most of TANZANIANS nenda kafanye research hawataki hata kusikia huu upuuzi wa chanjo za covid
 

sasa cnn ni shirika la utangazaji. hawazalishi chakula.
 
Hii ni scenario tofauti, kumbuka hao wafanyakazu wahawajathibitika kama wana corona. Sasa kwa nn ulazimishe wapate chanjo ili hali hawaumwi???
 
Halafu mtu anakwambia mbona chanjo zengine ulichanja? aisee! hii chanjo ni tofauti na zengine wewe bado hauoni tu? haya nasikia mzigo mwengine wa chanjo kwa ajili ya Delta.
 
luckyline tunatoboo kwelii 😒😒
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ati corona ya sasa hivi ni kimya kimya hakuna cha mafua wala kikohozi? Mbona mimi niko kawaida?
Corona ya mwaka jana watu tulikuwa na mafua balaa kila siku kujifukiza mbona sasa hivi ni tofauti?
Wewe una dalili yeyote?
 
Machugu ya kufukuzwa kazi ungeyapata wewe sidhani kama ungesema ni ushujaaa
 
Chanjo au tiba ya magonjwa mbalimbali hayalazimishwi, ni haki ya mtu kuamua kuchanjwa ama laaa.

Naomba kuwasilisha [emoji1666]
Mtu halazimishwi kuchanja ila kazi zao wanataka zifanywe na waliochanjwa
 
Wafuasi wa kinjekitile ngwale.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ati corona ya sasa hivi ni kimya kimya hakuna cha mafua wala kikohozi? Mbona mimi niko kawaida?
Corona ya mwaka jana watu tulikuwa na mafua balaa kila siku kujifukiza mbona sasa hivi ni tofauti?
Wewe una dalili yeyote?
Mie mwenyewe corona plus plus, hiyo haiwezi fanya kazi kwangu.. sijui hizo propganda.. naona lengo lao watu dunge wotee hawa, nahamia kijijini sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…