Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Leo ngoja niongee kile ambacho nimekuwa nikifundisha ofisi nyingi hasa ninapokutana na wafanyakazi na kuwafundisha juu ya hatari iliyoko mbele yao kiafya.Wafanyakazi
wote ambao hutumia kompyuta kama kifaa chao cha kazi kila siku wako kwenye hatari kubwa kiafya baada ya muda flani kama hawatakuwa makini,kama sijapata muda wa kutembelea ofisini kwako au kwenu basi jifunze hapa leo.
Kutokana na maendeleo ya teknolojia nchi zote zinazoendelea zimekuwa na kiwango kikubwa cha matumizi ya teknolojia hasa kompyuta,bila kufahamu kuwa watumiaji wa
wote wa kompyuta kwa muda mrefu wapo kwenye hatari kubwa ya kiafya baada ya miaka kadhaa,hii nikutokana na athari za mionzi ambayo inatambulika kutoka kwenye
kifaa hicho, mtumiaji wa kompyuta kwa muda mrefu ni mpokeaji mzuri wa mionzi hiyo,yaani unakuta mtu anakaa kwenye kompyuta asubuhi hadi jion kila siku kwa miaka 5,kwasababu watanzania wengi hatuna elimu ya jinsi ya kujiweka salama basi
hii inchi ndicho kimekuwa kifo chetu,mionzi hii hujikusanya mwilini na kusababisha athari zifuatazo kiafya,
1.Kupoteza kumbukumbu(memory loss)
2.Matatizo ya moyo(cardiovascula desease)
3.Saratani ya kizazi
4.Matatizo ya uzazi
5.Matatizo ya nguvu za kiume( low sperm count)
6.Kukosa usingizi
7.Msongo wa mawazo
8.Uvimbe tumboni
Matatizo haya huwezi kuyaona kwa muda mfupi lkn chunguza maofisi yote makubwa au watu ambao wamefanya kazi za kutumia kompyuta kwa muda mrefu lazima
utakuta anatatizo kati ya hayo.Najua ni vigumu sana kuepuka hilo kwasababu huwezi acha kazi lakini ipo njia sahihi na suluhisho kwa ambao tayali wameshatumia kwa
muda mrefu ambayo itakufanya kamwe usije pata madhara hayo hata kama utatumia
kompyuta kwa maisha yako yote au uendelee kutumia ili ule uzee ukiugulia maradhi
hayo.Kwa msaada au swali piga 0715448643 au unaweza pia tumia WHAT'S UP.LAKINI
PIA KAMA UTAPENDA WAFANYAKAZI WAKO AU WENZAKO KUPATA ELIMU SAHIHI JUU
YA KUJIONDOA KWENYE MARADHI HAYO NA KUTOPATA MADHARA HAYO WAWEZA
WASILIANA NAMIMI NIKAJUA JINSI NITAKAVYOWEZA WATEMBELEA HAKUNA MALIPO.