Wafanyakazi wengi wa maofisini wako hatarini?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Leo ngoja niongee kile ambacho nimekuwa nikifundisha ofisi nyingi hasa ninapokutana na wafanyakazi na kuwafundisha juu ya hatari iliyoko mbele yao kiafya.Wafanyakazi

wote ambao hutumia kompyuta kama kifaa chao cha kazi kila siku wako kwenye hatari kubwa kiafya baada ya muda flani kama hawatakuwa makini,kama sijapata muda wa kutembelea ofisini kwako au kwenu basi jifunze hapa leo.

Kutokana na maendeleo ya teknolojia nchi zote zinazoendelea zimekuwa na kiwango kikubwa cha matumizi ya teknolojia hasa kompyuta,bila kufahamu kuwa watumiaji wa

wote wa kompyuta kwa muda mrefu wapo kwenye hatari kubwa ya kiafya baada ya miaka kadhaa,hii nikutokana na athari za mionzi ambayo inatambulika kutoka kwenye

kifaa hicho, mtumiaji wa kompyuta kwa muda mrefu ni mpokeaji mzuri wa mionzi hiyo,yaani unakuta mtu anakaa kwenye kompyuta asubuhi hadi jion kila siku kwa miaka 5,kwasababu watanzania wengi hatuna elimu ya jinsi ya kujiweka salama basi

hii inchi ndicho kimekuwa kifo chetu,mionzi hii hujikusanya mwilini na kusababisha athari zifuatazo kiafya,

1.Kupoteza kumbukumbu(memory loss)
2.Matatizo ya moyo(cardiovascula desease)
3.Saratani ya kizazi
4.Matatizo ya uzazi
5.Matatizo ya nguvu za kiume( low sperm count)
6.Kukosa usingizi
7.Msongo wa mawazo
8.Uvimbe tumboni

Matatizo haya huwezi kuyaona kwa muda mfupi lkn chunguza maofisi yote makubwa au watu ambao wamefanya kazi za kutumia kompyuta kwa muda mrefu lazima

utakuta anatatizo kati ya hayo.Najua ni vigumu sana kuepuka hilo kwasababu huwezi acha kazi lakini ipo njia sahihi na suluhisho kwa ambao tayali wameshatumia kwa

muda mrefu ambayo itakufanya kamwe usije pata madhara hayo hata kama utatumia

kompyuta kwa maisha yako yote au uendelee kutumia ili ule uzee ukiugulia maradhi

hayo.Kwa msaada au swali piga 0715448643 au unaweza pia tumia WHAT'S UP.LAKINI

PIA KAMA UTAPENDA WAFANYAKAZI WAKO AU WENZAKO KUPATA ELIMU SAHIHI JUU

YA KUJIONDOA KWENYE MARADHI HAYO NA KUTOPATA MADHARA HAYO WAWEZA

WASILIANA NAMIMI NIKAJUA JINSI NITAKAVYOWEZA WATEMBELEA HAKUNA MALIPO.
 
Mkuu ss km hakuna Malipo si utuekee hapa hapa
 
Kama wewe unatoa elimu kwa manufaa ya jf members na wengine kama mimi kwa nini usituambie nini kifanyike? Mimi nijuavyo siyo computa tuu, hata tv zinatesa watu na utaona kwamba rate ya uvaaji miwani inakuja kwa kasi, wakati zamani babu zetu na bibi ndiyo walikuwa watumiaji wa miwani
 
MziziMkavu toka lini umeanza uchoyo wa elimu, malizia hapa hapa vile ushasema hakuna malipo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom