Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Pamoja na sababu nyingi kwanini ninawakataza msioe wanawake wafanyakazi (wenye mshahara) leo nitawapa hii sababu moja.
Kuna pepo wanamsonga mtu kulingana na mazingira au shughuli zake.
Pesa kadri unavyoishika kiu yake inakuwa nyingi zaidi.
Mke wangu mama wa nyumbani nikimpa pesa kidogo tu moyo wake unakuwa mweupe. Sasa mfanyakazi anapokea huenda million moja au zaidi au pungufu, huyu mawazo yake yote muda wote ni pesa na si mume.
Anaweza kugawa tunda kwa sh. 50k tu ili pesa yake ya mshahara asiiguse.
Sababu zingine kwanini nawakataza msioe wanawake wafanyakazi nilishawapa hapa.
Nitaendelea kuwaonya.
Asiyesikia la mkuu .....
Kama mke wako mfanyakazi ukapime DNA za watoto wako please.
Acha kujifariji ooohh umalaya ni tabia ya mtu. Unasahau tabia mtu huipata kwenye mazingira husika.