Wafanyakazi wengi wana pepo la tamaa, ndio maana tunakuambia usioe mfanyakazi

Wanawake wafanyakazi wana hasara 4:-
1. Wanagongwa sana makazini.
2. Wana viburi vya ki- Beijing.
3. Hachangii chochote kwenye uchumi wa na maisha ya familia- hafui, hafagii, hapiki na wengi wao hela yao huioni ikifanya kazi yoyote.
4. Unyumba wa ku-beep

Ukiona la 7b, huyu atafanya kazi zote za nyumbani na uroda ni 24/7
Atoto njoo usome hiyo no.4
 
Pamoja na sababu nyingi kwanini ninawakataza msioe wanawake wafanyakazi (wenye mshahara) leo nitawapa hii sababu moja.

Kuna pepo wanamsonga mtu kulingana na mazingira au shughuli zake.
Pesa kadri unavyoishika kiu yake inakuwa nyingi zaidi.

Mke wangu mama wa nyumbani nikimpa pesa kidogo tu moyo wake unakuwa mweupe. Sasa mfanyakazi anapokea huenda million moja au zaidi au pungufu, huyu mawazo yake yote muda wote ni pesa na si mume.
Anaweza kugawa tunda kwa sh. 50k tu ili pesa yake ya mshahara asiiguse.

Sababu zingine kwanini nawakataza msioe wanawake wafanyakazi nilishawapa hapa.
Nitaendelea kuwaonya.

Asiyesikia la mkuu .....

Kama mke wako mfanyakazi ukapime DNA za watoto wako please.
Acha kujifariji ooohh umalaya ni tabia ya mtu. Unasahau tabia mtu huipata kwenye mazingira husika.
50k yote hiyo???, sema sahani moja ya chips tu tunda linaliwa pasipo kikwazo,
 
Kugongewa n lazimaa mkuu hata umfungiee hapo ndani boda boda wataruka geti na kumkulaa tu ,Cha muhimu hapo ni kataa ndoa uishii Kwa aman km uko na wivu ...
downloadfile-2.jpg
 
Wanawake wafanyakazi wana hasara 4:-
1. Wanagongwa sana makazini.
2. Wana viburi vya ki- Beijing.
3. Hachangii chochote kwenye uchumi wa na maisha ya familia- hafui, hafagii, hapiki na wengi wao hela yao huioni ikifanya kazi yoyote.
4. Unyumba wa ku-beep

Ukiona la 7b, huyu atafanya kazi zote za nyumbani na uroda ni 24/7
Hana muda na familia yake always bize.
 
Pamoja na sababu nyingi kwanini ninawakataza msioe wanawake wafanyakazi (wenye mshahara) leo nitawapa hii sababu moja.

Kuna pepo wanamsonga mtu kulingana na mazingira au shughuli zake.
Pesa kadri unavyoishika kiu yake inakuwa nyingi zaidi.

Mke wangu mama wa nyumbani nikimpa pesa kidogo tu moyo wake unakuwa mweupe. Sasa mfanyakazi anapokea huenda million moja au zaidi au pungufu, huyu mawazo yake yote muda wote ni pesa na si mume.
Anaweza kugawa tunda kwa sh. 50k tu ili pesa yake ya mshahara asiiguse.

Sababu zingine kwanini nawakataza msioe wanawake wafanyakazi nilishawapa hapa.
Nitaendelea kuwaonya.

Asiyesikia la mkuu .....

Kama mke wako mfanyakazi ukapime DNA za watoto wako please.
Acha kujifariji ooohh umalaya ni tabia ya mtu. Unasahau tabia mtu huipata kwenye mazingira husika.
Akili za, ki maskini Sana hIzi, kwahiyo bro wewe hata binti zako huwapeleki shule, maana, inabidi wakawe mama wa nyumbani tu!
Uache kuoa mdada yupo benk kuu,au mgodini, au Vodacom, au google, na, mshahara wake 10M+kisa, unaogopa kugongewa!
Hakuna mwanamke anayeshindikana kugongwa,Huyo wa kwako simple, anatongozeka na bodaboda, nk, wa BOT atafutwa na waziri!
 
Pamoja na sababu nyingi kwanini ninawakataza msioe wanawake wafanyakazi (wenye mshahara) leo nitawapa hii sababu moja.

Kuna pepo wanamsonga mtu kulingana na mazingira au shughuli zake.
Pesa kadri unavyoishika kiu yake inakuwa nyingi zaidi.

Mke wangu mama wa nyumbani nikimpa pesa kidogo tu moyo wake unakuwa mweupe. Sasa mfanyakazi anapokea huenda million moja au zaidi au pungufu, huyu mawazo yake yote muda wote ni pesa na si mume.
Anaweza kugawa tunda kwa sh. 50k tu ili pesa yake ya mshahara asiiguse.

Sababu zingine kwanini nawakataza msioe wanawake wafanyakazi nilishawapa hapa.
Nitaendelea kuwaonya.

Asiyesikia la mkuu .....

Kama mke wako mfanyakazi ukapime DNA za watoto wako please.
Acha kujifariji ooohh umalaya ni tabia ya mtu. Unasahau tabia mtu huipata kwenye mazingira husika.
Mkuu kama una watoto wa kike tafadhali sana waishie darasa la saba tu. Usije wapa shida wanaume wenzio.
 
Back
Top Bottom