Wafanyazi wa Serikali waweke shabaha ya malengo katika kazi zao

Wafanyazi wa Serikali waweke shabaha ya malengo katika kazi zao

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Ushauri kwa wizara utumishi kipindi mnaelekea kwenye bajeti ya wizara kuna jambo naomba mlimulike kuna wafanyakazi wapo tu kazini kutimiza siku na kupokea mshahara, nashauri kila mwajiriwa wa serikali awe na target asipo ifikia angaaliwe kama anahitajika katika iko kitengo au asimamishwe kazi hii ipo katika ajira binafsi mtu anafanya kazi anawekea malengo.

Itasaidia sana watu kuwajibika
 
Uwajibikaji unaendana na unacholipwa, huwezi kulipwa laki nne au tano halafu ufanye kazi kama punda wakati mwingine mshahara wako yeye ni posho tu ya siku mbili.

Hata Mimi sina hamu na kazi yaani nipo nipo tu kulinda hiyo laki tano yao ya kila mwezi huku nikisubiri mchongo kutick.

Hata hivyo budget ya wizara ya Utumishi na utawala bora ilishapita kitambo sana.
 
Mtu anayefanya kazi kwenye sekta za serikali hawez kuwa kabisa sirius na kaz yake mara nyingi mtu akipata kaz serikalin huwa anabweteka na kutulia yaani huwa wanaona kama vile ndo shida zao zinakuwa zimeisha hapo

Mfanyakazi wa serikalini akishapata tu ile check number basi ndo imeisha hiyo yy yuko tu kupokea mshahara. Sio hivo tu hata kwenye maisha yao nyumbani huwa ni wazito kuleta maendelea

Sijui huwa kuna nn huko serikali ya mtu anakuwa sio active kabisa anakuwa kama zezeta kila kitu ni mpaka umkumbushe au utumie shindikizo ndo atafanya kitu lasivo imeisha hyo

Ndo mara nyingi pia hata kwenye ndoa zao huwa hawafanyi mambo matamu ya kufaidiana ndo maana unakuta ndo mabingwa wa kuchepuka
 
Hii ipo TPA mafundi (technical department) zote mtu akiwa anafanya kazi rekodi za muda aliotumia zinatunzwa then mwisho wa mwaka inafanyika calculation kuangalia kama anacholipwa ni sawa au anaiibia mamlaka

Miezi kadhaa nyuma technical department mishahara iliongezeka kwa 100%
 
Back
Top Bottom