Ushauri kwa wizara utumishi kipindi mnaelekea kwenye bajeti ya wizara kuna jambo naomba mlimulike kuna wafanyakazi wapo tu kazini kutimiza siku na kupokea mshahara, nashauri kila mwajiriwa wa serikali awe na target asipo ifikia angaaliwe kama anahitajika katika iko kitengo au asimamishwe kazi hii ipo katika ajira binafsi mtu anafanya kazi anawekea malengo.
Itasaidia sana watu kuwajibika