Wafaransa ni wachawi sana Argentina achukue tahadhari zote kuelekea fainali ya kombe la dunia 18.12.2022

Aliskika shabiki kindakindaki wa NBC PL
 
Ingekuwa ni uchawi basi Nigeria inayosifika kwa uchawi ingekuwa inachukua kombe la Afrika mara nyingi kuliko timu zote. Ingekuwa hivyo waraabu na majini yao wangekuwa wanachukua kombe la dunia
Mpira ni burudani na ni sayansi.
 
Wewe ni tahira unafikiri kule ni Tanzania isiyo na mipango,,tafuta record ya Brazil na France utapata jibu,,umelopoka tu
 
Uchawi? Leta ushahidi.
Mpape leo kasema ndugu zetu waafrica hatuta waangusha. Anajua wazi kilicho wakuta wale no 4. Lugha zao ni mbaya wamekutana na laana ya machif.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…