Agiza Express
Member
- Sep 26, 2022
- 52
- 119
Kwaiyo kipindi ambacho Ufaransa haikushinda kombe la dunia walikua wameacha uchawi kwa muda au walizidiwa uchawi na walioshinda eti??🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliskika shabiki kindakindaki wa NBC PLUfaransa walifaidika na uchawi fainali ya 98
Waliloga sana, waliloga uwanjani na wakaenda kwenye hotel ya wachezaji wa Brazil
Wachezaji wa Brazil asubuhi wengi walishindwa kuamka kwenda kupasha misuli kutokana na kujikisia homa na kuumwa
Hadi muda wa mechi wasiwasi ulikuwa mkubwa
Ile mechi wabrazil walikuwa hawakabi,hawakimbii ni kama walifungwa mawe miguuni walikuwa ni kama watazamaji na wao
Mpaka leo sijawahi kuamini kama Timu mbovu ile ya ufaransa ilimfunga Brazil ile
Pia mwamuzi wa mechi iyo aliwabeba sana wafaransa yule mwarabu,
mchezaji wa ufaransa akifanya faulo alikuwa hajiangaishi kupuliza kipenga
Deshamps ndio mchawi namba moja uyo kocha alifanya akiwa captain na sasa ufaransa wamempa timu aendeleze ufundi
Nawasihi argentina wamfiche Messi ndani asitoke la sivyo jumapili watajuta
Kwahiyo argentina wajiangalie watapigwa juju
Wakimuwahai messi tu wakampiga juju basi ufaransa amemaliza kazi
Tena waliwarushia maji ya maiti club AfricanSimba wamebobea kwenye uchawi na wanapasuliwa na kufurushwa kwenye Mashindano apo Kwa Mkapa.
Ingekuwa ni uchawi basi Nigeria inayosifika kwa uchawi ingekuwa inachukua kombe la Afrika mara nyingi kuliko timu zote. Ingekuwa hivyo waraabu na majini yao wangekuwa wanachukua kombe la duniaUfaransa walifaidika na uchawi fainali ya 98
Waliloga sana, waliloga uwanjani na wakaenda kwenye hotel ya wachezaji wa Brazil
Wachezaji wa Brazil asubuhi wengi walishindwa kuamka kwenda kupasha misuli kutokana na kujikisia homa na kuumwa
Hadi muda wa mechi wasiwasi ulikuwa mkubwa
Ile mechi wabrazil walikuwa hawakabi,hawakimbii ni kama walifungwa mawe miguuni walikuwa ni kama watazamaji na wao
Mpaka leo sijawahi kuamini kama Timu mbovu ile ya ufaransa ilimfunga Brazil ile
Pia mwamuzi wa mechi iyo aliwabeba sana wafaransa yule mwarabu,
mchezaji wa ufaransa akifanya faulo alikuwa hajiangaishi kupuliza kipenga
Deshamps ndio mchawi namba moja uyo kocha alifanya akiwa captain na sasa ufaransa wamempa timu aendeleze ufundi
Nawasihi argentina wamfiche Messi ndani asitoke la sivyo jumapili watajuta
Kwahiyo argentina wajiangalie watapigwa juju
Wakimuwahai messi tu wakampiga juju basi ufaransa amemaliza kazi
Wewe ni tahira unafikiri kule ni Tanzania isiyo na mipango,,tafuta record ya Brazil na France utapata jibu,,umelopoka tuUfaransa walifaidika na uchawi fainali ya 98