Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Tatizo wamefariki wote hakuna wa kusemaKwamba ukikolea unakuwa tayari kufa kisa "asali"?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo wamefariki wote hakuna wa kusemaKwamba ukikolea unakuwa tayari kufa kisa "asali"?
Uzembe waoNguvu kazi imepotea kisa utelezi. So sad
Wangeletwa huku nilipo before ili niwaconnect na watoto. Tena wakaliiMtwara. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamtafuta Hadija Msamati kwa mahojiano akidaiwa kuhusika katika vifo vya wanaume wawili.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa, Septemba 30, 2022, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema watu wawili wamefairiki dunia kwenye ugomvi wa kupigana wao kwa wao wakigombea mwanamke wilayani Masasi.
Amesema watu hao walitambulika kwa majina ya Ibrahimu Shaban (21) na Mussa Bakari (28) ambao wamefariki dunia baada ya kupigana kwa kutumia magongo ya miti na kupigana wao kwa wao wakigombea mpenzi.
Katembo alisema kuwa Septemba 29, 2022 majira ya saa sita usiku katika kijiji cha Mkangaula kata ya Namalenga wilayani Masasi watu hao waligombana.
"Hili tukio limesababishwa na wivu wa mapenzi ambapo imebainika baada ya ugomvi huo mwanamke huyo amekimbilia kusiko julikana ambapo kwa taarifa ya Daktari baada ya uchunguzi walibaini chanzo ni kuvuja damu kwa wingi mwilini," alisema Katembo
Cc: Mwananchi newspaper
Basi polisi wanamtafuta wayaonjeAtakuwa anamiliki kisima chenye maji matamu sana.
Bi khadijaWameacha jimbo waja wagombee tena
Inatumia AndroidNyie mnakufa mnamuacha na utamu wake aiii, pole yao yaani mbususu zote hizi bado unagombania moja, au ilikua imeumbwa na gold tofauti na hizi za nyama tu.🤔
😂Inatumia Android
Nyie mnakufa mnamuacha na utamu wake aiii, pole yao yaani mbususu zote hizi bado unagombania moja, au ilikua imeumbwa na gold tofauti na hizi za nyama tu.[emoji848]