Wafia dini ni debe wanaamini hawa alitoka ubavuni mwa adamu ila mama zao walizaliwa na wakawazaa!!

Wafia dini ni debe wanaamini hawa alitoka ubavuni mwa adamu ila mama zao walizaliwa na wakawazaa!!

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Sasa kama hawa alitoka ubavuni mwa adam kama jinsia ya kike je hizi jinsia za kike nyingine pia zilitoka ubavuni mwa jinsia ya kiume ya samaki,kuku,bata,nyoka,nk?

Kwanini wanawake i.e:hawa wasiendelee kutoka kwenye ubavu wa wanaume i.e:adam?

Wafia dini jiongezeni!!
 
HAKI KWA WOTE mdau unahangaika sana na haya mambo,tua hilo zigo kichwani acha mambo yaende yalivyo utazeeka kama siyo kufa siku si zako
 
Back
Top Bottom