wabejaa sana...Inaonekana waliochangia hapa wanajivuruga... Ukisikia mtu anapokea mshahara ujue Kaajiriwa 'Full' time. Na kuwa, Mkataba wake Unaeleza ni muda gani anapaswa kuwepo muda huo wote Kazini na Anapaswa kutekeleza mambo gani. Ajira nyingi ni za masaa 8, say saa 0800 hadi 1700, Saa 1 ni la Chakula mchana.
Kwa Lugha iliyotumika hapo, Kuwa ni watumishi wa serikali na pia wako RUCU, km hivyo, Pata picha ikiwa utaratibu wao wa kazi ukiwa hivi;
Saa 0800 hadi saa 1700 Ajira serikalini
Saa 0800 hadi saa 1700 Ajira RUCU.
Ikiwa hivi, hapo kuna makosa makubwa, mwajiri mmoja Anaibiwa muda wake.
Pia kumbuka, Mwajiriwa kwa mfumo huo, Atakuwa ni mwanachama mara 2 katika Mifuko ya Pensheni, nalo ni kosa.
Kwa hiyo Wameshitakiwa katika parameters hizo hapo.
Part Time Job Inaruhusiwa kisheria na Inapaswa kufanywa nje ya muda wa mwajiri, kwa mfano wetu hapo juu ni kuanzia Saa 1700 hadi 2200 (mfano tu) na Huko unakofanya part time hulipwi Mshahara, Unapewa Posho tu (Allowance), Haina makato ya kodi, pensheni wala Mifuko ya Afya.
At least mtakuwa mmeelewa.
Duh!Mmoja kati ya hao walioshtakiwa ni mtu wa pharmacy
Issue hapa sio part time au umiliki bali ni kuwa na ajira mbili. Yaani "Mwajiriwa wa Serikali pia Mwajiriwa wa Chuo cha RUCU"Madaktari wa hospital za umma wanapiga part time jobs kwenye hospital binafsi tena nyingine wanazimiliki wao,
Je, nao huwa wanachakuliwa hatua?
Chonde-chonde mimi ni mtumishi wa umma ila usiku ni meneja wa night club.
"Hapa hakuna kuoneana. Ni swala la kisheria. Haiwezekani kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja. Issue hapa nikuwa muajiriwa wa sehemu mbili tafauti. Serikalini na RUCU.Kama wmekiuka maadili Wa kuwashitaki ni waajiri wao na sio takukuru,swali muajiri amelalamika kuwa mtumishi wake hajafika kibaruwani? Kwa miaka mi5 hiyo ameshitakiwa malangapi kwa kosa la kutohudhuria kazi zake kwa wakati? Kama hakuna basi Kuna kutafuta Kiki,kuonea wanyonge ama kutengeneza mazingira ya Kula rushwa kutoka kwa hao waalimu
Hiyo sio inshu mbona wapo wengi mtu anafundisha vyuo viwili tena vya serikali na bado anatimiza majukum yake effectively na efficientlyIssue hapa sio part time au umiliki bali ni kuwa na ajira mbili. Yaani "Mwajiriwa wa Serikali pia Mwajiriwa wa Chuo cha RUCU"
Nimekupenda bure[emoji122]Inaonekana waliochangia hapa wanajivuruga... Ukisikia mtu anapokea mshahara ujue Kaajiriwa 'Full' time. Na kuwa, Mkataba wake Unaeleza ni muda gani anapaswa kuwepo muda huo wote Kazini na Anapaswa kutekeleza mambo gani. Ajira nyingi ni za masaa 8, say saa 0800 hadi 1700, Saa 1 ni la Chakula mchana.
Kwa Lugha iliyotumika hapo, Kuwa ni watumishi wa serikali na pia wako RUCU, km hivyo, Pata picha ikiwa utaratibu wao wa kazi ukiwa hivi;
Saa 0800 hadi saa 1700 Ajira serikalini
Saa 0800 hadi saa 1700 Ajira RUCU.
Ikiwa hivi, hapo kuna makosa makubwa, mwajiri mmoja Anaibiwa muda wake.
Pia kumbuka, Mwajiriwa kwa mfumo huo, Atakuwa ni mwanachama mara 2 katika Mifuko ya Pensheni, nalo ni kosa.
Kwa hiyo Wameshitakiwa katika parameters hizo hapo.
Part Time Job Inaruhusiwa kisheria na Inapaswa kufanywa nje ya muda wa mwajiri, kwa mfano wetu hapo juu ni kuanzia Saa 1700 hadi 2200 (mfano tu) na Huko unakofanya part time hulipwi Mshahara, Unapewa Posho tu (Allowance), Haina makato ya kodi, pensheni wala Mifuko ya Afya.
At least mtakuwa mmeelewa.
Exactly!!!Kama wanafanya muda baada ya kazi yao sio tatizo ila tatizo ni kutumia muda wa mwajiri ambaye ni serikali kufanya kazi zako binafsi.
Walikuwa na mikataba ya kudumu (permanent) Mkuu na siyo temporary au part time.Madaktari wa hospital za umma wanapiga part time jobs kwenye hospital binafsi tena nyingine wanazimiliki wao,
Je, nao huwa wanachakuliwa hatua?
Chonde-chonde mimi ni mtumishi wa umma ila usiku ni meneja wa night club.
Inaonekana hivyo. Mtoa taarifa ameji-favourNadhani hapa kuna aidha upotoshaji au poor reporting ya hii issue .. time will tell
Kweli mkuu. Ngoja nimpe mfano. Mimi ni mwajiriwa wa serikali. Mkataba wangu na serikali ni Masaa 8 kila Siku kwa Siku 5. Naingia kazini saa mbili asubuhi, natoka saa 11 jioni. Ni mhasibu niliyebobea na CPA yangu nzuri sana. Chuo cha Uhasibu private wananiomba nifanye part-time Massa mawili kwa siku kuanzia saa 12 mpaka saa mbili jioni. Kwa kuwa nina shida na kipato nakubali kujidhabihu. Hiyo inakubalika kabisa, si vinginevyo.Sio rahisi kuajiriwa part time halafu ushatakiwe. Sheria au muongozo unaruhusu part time jobs. Madaktari wanafanya hivyo, waalimu wengi tu wanafanya hivyo.
Hao waliajiriwa full time.
so umewaonea wivu?"Hapa hakuna kuoneana. Ni swala la kisheria. Haiwezekani kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja. Issue hapa nikuwa muajiriwa wa sehemu mbili tafauti. Serikalini na RUCU.
Wakati mwingine tuwe tayari kuuface ukweli. Wamepiga vyakutosha sasa ni zamu yao kujitetea"
Hapa hakuna swala la wivu dogo. Ni swala la kisheria. Nilazma tujifunze kuheshimu sharia na kanuni za ajira.so umewaonea wivu?
mbona hayo mambo yapo sana mimi nimesoma chuo flani lecture wetu alikua pia ni muajiriwa wa hospitali ya serikali hapo vipi?
Kama hujanielewa kaa kimya. Pigana uende bungeni upeleke bill ya kurekebisha sharia iwe kama unavyotaka.Hiyo sio inshu mbona wapo wengi mtu anafundisha vyuo viwili tena vya serikali na bado anatimiza majukum yake effectively na efficiently
ko ulikua unasemaje?Hapa hakuna swala la wivu dogo. Ni swala la kisheria. Nilazma tujifunze kuheshimu sharia na kanuni za ajira.