Wafikishwa mahakamani kwa wizi wa zaidi ya Tsh. milioni 500

Wafikishwa mahakamani kwa wizi wa zaidi ya Tsh. milioni 500

Inaonekana waliochangia hapa wanajivuruga... Ukisikia mtu anapokea mshahara ujue Kaajiriwa 'Full' time. Na kuwa, Mkataba wake Unaeleza ni muda gani anapaswa kuwepo muda huo wote Kazini na Anapaswa kutekeleza mambo gani. Ajira nyingi ni za masaa 8, say saa 0800 hadi 1700, Saa 1 ni la Chakula mchana.
Kwa Lugha iliyotumika hapo, Kuwa ni watumishi wa serikali na pia wako RUCU, km hivyo, Pata picha ikiwa utaratibu wao wa kazi ukiwa hivi;
Saa 0800 hadi saa 1700 Ajira serikalini
Saa 0800 hadi saa 1700 Ajira RUCU.
Ikiwa hivi, hapo kuna makosa makubwa, mwajiri mmoja Anaibiwa muda wake.
Pia kumbuka, Mwajiriwa kwa mfumo huo, Atakuwa ni mwanachama mara 2 katika Mifuko ya Pensheni, nalo ni kosa.
Kwa hiyo Wameshitakiwa katika parameters hizo hapo.
Part Time Job Inaruhusiwa kisheria na Inapaswa kufanywa nje ya muda wa mwajiri, kwa mfano wetu hapo juu ni kuanzia Saa 1700 hadi 2200 (mfano tu) na Huko unakofanya part time hulipwi Mshahara, Unapewa Posho tu (Allowance), Haina makato ya kodi, pensheni wala Mifuko ya Afya.
At least mtakuwa mmeelewa.
wabejaa sana...
 
Hapa Kuna jambo mnachanganya waungwana...
Part tym haina permanent contract..
Hão Lazima walikua na permanent contract ndani ya muda huo huo wa kazi
 
Tofauti ya Bongo na Beberu...
Beberu unaweza kufanya kazi 24hours, bora kaizari anachukua kodi yake...

Tuchape kazi kwelikweli...

Everyday is Saturday.......................... 😎
 
Kwan tatzo lipo wap hapo? Kama mtu unaweza fanya kazi na bado ukapata mda wa free wa kwenda kufanya kaz sehem nyingine pasipo kuathiri kazi tako ya mwanzo tatizo lipo wap? Huo sasa niuonevu bas nawatumishi wafanyabiashara nao wakamatwe basi
 
Madaktari wa hospital za umma wanapiga part time jobs kwenye hospital binafsi tena nyingine wanazimiliki wao,
Je, nao huwa wanachakuliwa hatua?

Chonde-chonde mimi ni mtumishi wa umma ila usiku ni meneja wa night club.
Issue hapa sio part time au umiliki bali ni kuwa na ajira mbili. Yaani "Mwajiriwa wa Serikali pia Mwajiriwa wa Chuo cha RUCU"
 
Kama wmekiuka maadili Wa kuwashitaki ni waajiri wao na sio takukuru,swali muajiri amelalamika kuwa mtumishi wake hajafika kibaruwani? Kwa miaka mi5 hiyo ameshitakiwa malangapi kwa kosa la kutohudhuria kazi zake kwa wakati? Kama hakuna basi Kuna kutafuta Kiki,kuonea wanyonge ama kutengeneza mazingira ya Kula rushwa kutoka kwa hao waalimu
"Hapa hakuna kuoneana. Ni swala la kisheria. Haiwezekani kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja. Issue hapa nikuwa muajiriwa wa sehemu mbili tafauti. Serikalini na RUCU.
Wakati mwingine tuwe tayari kuuface ukweli. Wamepiga vyakutosha sasa ni zamu yao kujitetea"
 
Issue hapa sio part time au umiliki bali ni kuwa na ajira mbili. Yaani "Mwajiriwa wa Serikali pia Mwajiriwa wa Chuo cha RUCU"
Hiyo sio inshu mbona wapo wengi mtu anafundisha vyuo viwili tena vya serikali na bado anatimiza majukum yake effectively na efficiently
 
Inaonekana waliochangia hapa wanajivuruga... Ukisikia mtu anapokea mshahara ujue Kaajiriwa 'Full' time. Na kuwa, Mkataba wake Unaeleza ni muda gani anapaswa kuwepo muda huo wote Kazini na Anapaswa kutekeleza mambo gani. Ajira nyingi ni za masaa 8, say saa 0800 hadi 1700, Saa 1 ni la Chakula mchana.
Kwa Lugha iliyotumika hapo, Kuwa ni watumishi wa serikali na pia wako RUCU, km hivyo, Pata picha ikiwa utaratibu wao wa kazi ukiwa hivi;
Saa 0800 hadi saa 1700 Ajira serikalini
Saa 0800 hadi saa 1700 Ajira RUCU.
Ikiwa hivi, hapo kuna makosa makubwa, mwajiri mmoja Anaibiwa muda wake.
Pia kumbuka, Mwajiriwa kwa mfumo huo, Atakuwa ni mwanachama mara 2 katika Mifuko ya Pensheni, nalo ni kosa.
Kwa hiyo Wameshitakiwa katika parameters hizo hapo.
Part Time Job Inaruhusiwa kisheria na Inapaswa kufanywa nje ya muda wa mwajiri, kwa mfano wetu hapo juu ni kuanzia Saa 1700 hadi 2200 (mfano tu) na Huko unakofanya part time hulipwi Mshahara, Unapewa Posho tu (Allowance), Haina makato ya kodi, pensheni wala Mifuko ya Afya.
At least mtakuwa mmeelewa.
Nimekupenda bure[emoji122]
 
Madaktari wa hospital za umma wanapiga part time jobs kwenye hospital binafsi tena nyingine wanazimiliki wao,
Je, nao huwa wanachakuliwa hatua?

Chonde-chonde mimi ni mtumishi wa umma ila usiku ni meneja wa night club.
Walikuwa na mikataba ya kudumu (permanent) Mkuu na siyo temporary au part time.
 
Sio rahisi kuajiriwa part time halafu ushatakiwe. Sheria au muongozo unaruhusu part time jobs. Madaktari wanafanya hivyo, waalimu wengi tu wanafanya hivyo.

Hao waliajiriwa full time.
Kweli mkuu. Ngoja nimpe mfano. Mimi ni mwajiriwa wa serikali. Mkataba wangu na serikali ni Masaa 8 kila Siku kwa Siku 5. Naingia kazini saa mbili asubuhi, natoka saa 11 jioni. Ni mhasibu niliyebobea na CPA yangu nzuri sana. Chuo cha Uhasibu private wananiomba nifanye part-time Massa mawili kwa siku kuanzia saa 12 mpaka saa mbili jioni. Kwa kuwa nina shida na kipato nakubali kujidhabihu. Hiyo inakubalika kabisa, si vinginevyo.
 
"Hapa hakuna kuoneana. Ni swala la kisheria. Haiwezekani kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja. Issue hapa nikuwa muajiriwa wa sehemu mbili tafauti. Serikalini na RUCU.
Wakati mwingine tuwe tayari kuuface ukweli. Wamepiga vyakutosha sasa ni zamu yao kujitetea"
so umewaonea wivu?
mbona hayo mambo yapo sana mimi nimesoma chuo flani lecture wetu alikua pia ni muajiriwa wa hospitali ya serikali hapo vipi?
 
so umewaonea wivu?
mbona hayo mambo yapo sana mimi nimesoma chuo flani lecture wetu alikua pia ni muajiriwa wa hospitali ya serikali hapo vipi?
Hapa hakuna swala la wivu dogo. Ni swala la kisheria. Nilazma tujifunze kuheshimu sharia na kanuni za ajira.
 
Hiyo sio inshu mbona wapo wengi mtu anafundisha vyuo viwili tena vya serikali na bado anatimiza majukum yake effectively na efficiently
Kama hujanielewa kaa kimya. Pigana uende bungeni upeleke bill ya kurekebisha sharia iwe kama unavyotaka.
 
Kwa mtazamo huu tutachelewa sana kupata maendeleo. Maendeleo ya kweli ni pamoja na uzalishaji mkubwa ambao huletwa na ufanyaji kazi sana kwa ufanisi. Ukiangalia mfumo wa vyuo mwalimu anaweza kuwa na vipindi viwili mara 3 kwa wiki hivi huyo huo muda mwingine wote anafanya nini? Akae tu?

Nchi zilizoendelea na hata majirani hapo kwa uhuru ni jambo la kawaida kabisa kufanya kazi zaid ya 3. Suala ni kutofautisha masaa tu, hivi kama mtu ni mbobezi wa kitu fulani kuna ubaya gani akiwafikia wanafunzi wengi zaidi na kulipwa zaidi? kama kwlei tunataka kwenda na kasi iliyopo duniani basi tunamengi yakubadili.
 
Back
Top Bottom