Wafu walio hai na siri za kuzimu zilizofichwa kwenye ulimwengu wa roho

Yes>...Kifo ni utani wa ulimwengu
"Unakusanya vitu vingi na wakati mwingine unajinasibisha na vitu hivyo halafu mwisho wa siku unakuchukua wewe tu"

Death is a cosmic joke, you will laugh when you see the other side of the continuum.​

Hakuna ushahidi wa uwepo wa upande mwingine, ni story tu za binadamu.
 
Wakristo na waislamu akili amna ...mmesoma dini hata kilicho andikwa kwenye dini zenu mnashindwa kikielewa ...sijawahi kumsikia mkristo akieleza kuzimu ni wapi sawa sawa ...unakuta mkristo mpumbavu anasema eti Yesu alipo kufa alienda kuzimu , ..huu ni uongo ambao haupo kwenye injili ....UKITUMIA AKILI 1)UTAGUNDUA KUZIMU NI WAPI?
2)UTAGUNDUA KUWA KWELI KUZIMU IPO.
3)UTAGUNDUA KUWA KWELI YESU ALIKWENDA KUZIMU ILA SIYO KAMA WASEMAVYO WAKRISTO WA SASA KUWA ALIPO KUFA ALIKWENDA KUZIMU NA SIKU YA 3 KUFUFUKA.
 
Ipo hata wewe unaijua
 
Kuna Watakatifu Wakatoliki walikuwa na muujiza huo😁
Mtakatifu Padre Pio, Mt. Anthony wa Padua na Mt. Ambrose wa Milan. Wenyewe Wakatoliki wanasema ni muujiza wa Bilocation!
 
Yesu ni "consciousness" iliyopo ndani yako na ndiyo hiyo hiyo itawalayo ulimwengu na kila kitu
 
Kuna Watakatifu Wakatoliki walikuwa na muujiza huo😁
Mtakatifu Padre Pio, Mt. Anthony wa Padua na Mt. Ambrose wa Milan. Wenyewe Wakatoliki wanasema ni muujiza wa Bilocation!
Yeah, mtakuja na " Marian Apparitions' muda mfupi ujao
 
Watu hawaelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…