Wafu walio hai na siri za kuzimu zilizofichwa kwenye ulimwengu wa roho

Kuzimu ni wapi?
Kuzimu ..kilogic na kidini(kibiblia) kuzimu ni hapa tunapo ishi sasa...yaani toka kuzaliwa hadi kufa ...maana yake haya maisha tunayo ishi ndiyo tupo kuzimu...
Hivyo biblia inavyosema Yesu alishuka mpaka kuzimu maana yake alizaliwa duniani na kuishi ...kisha biblia inasema alishuka mpaka kuzimu na kutoka ameshinda ...maana yake aliishi maisha matakatifu hadi kufa na kufufuka kwake na kuondoka duniani...
 
Ahera,
Valhalla,
Sheol,
Naraka,
UPUMBAFUUU wewe ulipo zaliwa ulizaliwa kuzimu na hadi sasa upo kuzimu ukifa ni mwisho wako wa kuishi kuzimu ...kuzimu ndiyo kuna kushinda dhambi na kushindwa na dhambi..kuzimu kuna kuchuma dhambi na kuchuma thawabu ..
 
Mi naamini kuna maisha mengine kabisa na hata huo moto hauopo na hii hapa chini ni kweli....

Bibi yangu alinipenda sana sana!!!! alifariki bila mimi kujua kabisa lakini niliota ndoto ambayo huwa siisahau mpka leo.
Basi baada ya kuota ile ndoto nikakaa siku mbili nikaota tena bibi yangu kalala amejikunja. basi mchana wake nikapokea fax kuhusu kifo. niliishiwa nguvu kabisa basi nilikuwa mbali kidogo nikaanza taratibu za usafiri na nilitumia wiki mbili kufika kijijini ukijumlisha na muda aliofariki ikawa kama wiki tatu.
Kufika pale nikaambiwa bibi yangu alifariki huku ananiita tuagane japo alikuwa hoi sana na mzee alifariki akiwa na zaidi ya miaka 100.
Basi nikapewa taarifa za mazishi yake nikapelekwa kwenye kaburi lake alikuwa mganga mkubwa sana sasa zoezi la mazishi yake ilikuwa kijadi na yalisimamiwa na waganga kutoka pande zote na baadhi nchi jirani,, nilikuta hawajasambaa wengi.

Basi wakanipa utaratibu wa kwenda na wakanipeleka pale kwenye kaburi...
Nikanyunyuzia maji pale nikaambiwa nitaje jina langu pale kama nimefika kumpa salamu na kumuona kama nasali nisali kama sisali basi niongee maneno ninayojua mimi.
Kwa uchungu ilibidi nikae kimya tu kwa muda kama wa dakika 10,, basi nikiwa pale nikaambiwa bibi yako anahitaji kuongea na wewe nikauliza kivipi??? wameona ishara nikajibu sawa!!!.

Tukaondoka pale tukarudi nyumbani kwake basi wakafanya maandalizi tukaingia ndani ya chumba chake alichokuwa anakitumia kwa kazi zake za uganga..... wakafanya mambo yao wanauojua wao nikaona wengi wanaanza kutoka na wakabaki watatu tu........ bwanaeeee dunia ina mambo hii ukiachana na fiction bibi yangu akaja akatokea na kukaa kwenye kiti chake....
Nikiwa natetemeka sana hapo jasho linanitokaaaa akaanza kuongea kwa upole sana kutokana na ule uoga niliokuwa nao katika wale watatu mmoja akanipaka nadhani ni dawa sijui nini nikakaa sawa wakatoka tukaanza kuongea hivi live.!.!
Akaniambia muda wake wa kukaa duniani ulikuwa umeisha na umepitiliza akaniambia yuko na familia yake na watoto wake na wazazi wake tukapiga story akaniuliza nikusaidia nini??! nikajibu sijui kama nitaweza kuishi bila yeye!!!! akaniambia muda wako bado sana wa kuja huku!!!!
Akaniambia utapata watoto! watoto alioniambia ndio leo hii niko nao hivyo hivyo,, akanimbia mume wangu na jinsi nitakavyompata ndio ikawa hivyo hivyo!, maisha yangu ndio yakawa kama alivyoniambia alinitabiria kuhusu umri wa kuishi huu sitasema......

Kwa kuwa mimi ni muumini nikamuuliza bibi huko una amani?? nikimaanisha anautumikia moto au yuko kwenye raha ya milele!!!! akanijibu hivi nimeungana na familia yangu naishi maisha niliyokuwa naishi kwetu . akaniuliza una lingine??? muda niliopewa kuja huku umeshaisha!!!! nikamwambia usiniache naomba tuwe wote uwepo katika maisha yangu!.! Akaniambia njoo nikasogea akaniambia sitakuacha nitakuwa na wewe popote ulipo.

Basi mimi nilondoka nikaendelea na maisha siku moja nikiwa na safari moyo ulikuwa unasita sana basi .

Nakumbuka kulikuwa na basi zinaitwa nyehunge nilikata tiketi sasa ile siti ilikuwa kumbe imekatwa watu wawili huyo mama akawa kakaa sikuona haja ya ugomvi nikashuka wakanirudishia nusu ya pesa nikapanda super najumnisa tukawa kama tumeongoza ile kufika chalinze tunakuta bonge la ajali uso kwa uso na roli.
Nikapata mwanume mmoja ana pesa si haba Tanzania hii bwanae fanya appointment mpaka tukaenda zetu hoteli weweeee nimefika hivi nilianza kuumwa sijawahi katika maisha nilitapika sana mpka hoteli walipiga emergency nikapelekwa muhimbili tundikiwa drip pale nikapata usingizi nikaota bibi yangu akiniambia kuwa yule tajiri kazi yake kubeba nyota na kuambuiza ukimwi.

Kiufupi nina visa vingi lakini naamini kuna maisha mengine tofauti na haya tunayodanganywa.
 
Mungu yupo siyo swala la kuamini ni swala la kisayansi na kihesabu kabisa ...
 
Trance,
Hypnosis,
Psychism,
 
Kuzimu ..kilogic na kidini(kibiblia) kuzimu ni hapa tunapo ishi sasa...yaani toka kuzaliwa hadi kufa ...maana yake haya maisha tunayo ishi ndiyo tupo kuzimu...
Hivyo biblia inavyosema Yesu alishuka mpaka kuzimu maana yake alizaliwa duniani na kuishi ...kisha biblia inasema alishuka mpaka kuzimu na kutoka ameshinda ...maana yake aliishi maisha matakatifu hadi kufa na kufufuka kwake na kuondoka duniani...
Asante mkuu... na baada ya kufa mtu anaenda wapi?
 
Technically, hakuna sehemu inayoitwa kuzimu. Ni sawa na tunavyoaminishwa kwamba kuna sehemu inaitwa jehanamu. Ukipata nafasi naomba utupe ufahamu mzuri juu ya haya maneno, jehenamu, kuzimu na paradise. Je, roho Huishi kwa muktadha up? Roho ni nini? Ina ufahamu? Utambuzi wa roho unatokana na nini hasa? Je, roho inaishi vipi bila nishati mwili? Nini kinaipa roho nishati? Je, roho ni kiungo katika mwili kisicho tegemezi?
Umechanganya vitu vingi kwa wakati mmoja .. Ufafanuzi wake nikiuweka wote hapa si chini ya page 3 mpaka 5 .. Ngoja nijaribu kufupisha

Kuzimu, Jehanamu, na Paradiso kihistoria zilitokana na maeneo halisi au dhana za kilugha kabla ya kuwa sehemu ya mafundisho ya kidini. Kuzimu (kutoka neno la Kiebrania Sheol) asili yake ilimaanisha "kaburi" au makazi ya wafu wote bila ubaguzi, huku Jehanamu ikitokana na eneo halisi la dampo la takataka na mizoga lililoitwa Bonde la Hinomu huko Yerusalemu, lililotumiwa kama mfano wa picha wa uangamizaji wa milele. Kwa upande mwingine, Paradiso asili yake ni neno la Kiajemi linalomaanisha "bustani iliyozungushiwa ukuta," ikifananisha makazi ya amani na utulivu wa kiroho.

Roho inatazamwa kama kiini cha utambulisho na pumzi ya uhai isiyo ya kimwili, yenye uwezo kamili wa kuwa na ufahamu, hisia, na utambuzi binafsi (self-awareness).

Tofauti na mwili unaotegemea milango ya fahamu ya nyama na damu, utambuzi wa roho unatokana na asili yake ya kimungu na haufi pale ubongo unapoacha kufanya kazi.

Mwili unachukuliwa kama chombo tu cha kuifadhi roho katika ulimwengu huu, lakini uwezo wa kufikiri na kutambua uwepo wako unaaminika kubaki salama hata baada ya kifo.

Nishati inayohuisha roho haitokani na chakula au nguvu za kemia za kibiolojia kama ilivyo kwa mwili wetu, bali inatokana na Chanzo Kikuu cha kiroho ambacho ni Mungu.

Kwa sababu roho haijatengenezwa na atomu au molekuli za duniani, sheria za fizikia hazina nguvu juu yake, jambo linaloifanya iendelee kuishi kama nishati safi ya ufahamu (pure consciousness) hata wakati mwili unapokosa nishati ya kikemia na kufa.

Roho si kiungo cha anatomia unachoweza kukiona kwa macho au kukipasua hospitalini, bali ni nishati inayoshirikiana kwa ukaribu na mwili wako.

Kifalsafa, roho inachukuliwa kuwa huru na isiyotegemea viungo vya mwili ili kuwepo, ambapo mwili unatazamwa kama "nyumba" tu inayoiruhusu roho kutenda kazi katika ulimwengu wa kimaumbile, na unapoacha kufanya kazi, roho huhama na kuendelea na maisha yake.
 
Kuna watu wanaokataa umauti wanafikia kabisa stage ya kufa lakini wanarejea hawa unawazungumzia vipi?
Hali hii ya watu wanaofikia hatua ya kufa (au kukaribia kufa kabisa) kisha wakafufuka au kurejea uzimani inajulikana kisayansi na kitiba kama "Near-Death Experience (NDE)" au Uzoefu wa Kukaribia Kifo.Jambo hili linasisimua sana kwa sababu linakutanisha sayansi ya kitabibu, falsafa, na imani za kiroho katika jibu moja
 
Back
Top Bottom