Ndo hawa auKwenye mkutano huo wamesisitiza kuwa katiba ya chama chao ina mapungufu mengi na kusema ifanyiwe marekebisho kabla hata hawajadai katiba mpya ya Tanzania
Wamesema katiba inayotumika sasa inakinzana kabisa na chama chao kinachojinasibu kuwa chama cha demokrasia
Maendeleo hayana vyama
Kazi iendelee
Aisee [emoji848]Nilisema mimi jana kuwa Lisu ni muhusika mkuu wa kinachoendelea sasa, maana washamchoka mwenyekigoda lkn kutokana na mfuko wake walishindwa kumn'goa pale kupitia uchafuzi mkuu wa chama uliomuweka tena madarakan. Ila Lisu atauweza mfupa uliomuondoa Chacha wangwe duniani na kumtosa Zito chamani? Hilo ndio swali la kujiuliza. Lets wait time will tell.
Kweli ndo hawa wenye madai hayo au ni wengneBora wamejitokeza....
Ifikie mahala CHADEMA wairekebishe katiba yao iwe kidemokrasia zaidi kabla ya kutaka mambo MAKUBWA ya Katiba ya JMT.....
#ChademaWaibadilisheKatibaYao
#NchiKwanza
#KaziIendelee
Senge wwWakiwa CCM kabla ya kuhamia CHADEMA
Mhu! Quite irrelevant! Kwani Mbowe ndiye aliyeunda tume kutafuta maoni ya wananchi Tanzania Bara na Visiwani kuhusu Katiba Mpya tangu Awamu ya Nne chini ya Rais Jakaya Kikwete na kisha tume ikaandika Rasimu ya Pili ya Katiba (2013)?VIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA.
Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake ya Katiba Mpya. Viongozi na Wanachama hao wamedai kwamba mabadiriko ya Katiba yaanze kwanza ndani ya Chama chao cha CHADEMA kwa kubadirisha Katiba yao.
Wakizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 26, 2021 wanachama hao wamesema Katiba ya sasa ya CHADEMA haina uhai na haibebi misingi ya demokrasia.
"Tubadili kwanza Katiba yetu ndio tupiganie Katiba ya nchi. Alisema Kiongozi wao Mackdeo Shilinde.
View attachment 1869309
Senge ww

Hao ni majunya wa uvccm.VIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA.
Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake ya Katiba Mpya. Viongozi na Wanachama hao wamedai kwamba mabadiriko ya Katiba yaanze kwanza ndani ya Chama chao cha CHADEMA kwa kubadirisha Katiba yao.
Wakizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 26, 2021 wanachama hao wamesema Katiba ya sasa ya CHADEMA haina uhai na haibebi misingi ya demokrasia.
"Tubadili kwanza Katiba yetu ndio tupiganie Katiba ya nchi. Alisema Kiongozi wao Mackdeo Shilinde.
View attachment 1869309
Unaingia barabarani kumpigania huyu, huku kwako haujaacha hata hela ya unga.. Hii ni akili au matope!Aisee [emoji848]View attachment 1869332View attachment 1869333
Vipututu sana.Sura yake tu inaonyesha wazi kuwa akili yake haiko sawa!! Kama taahira flani hivi
Malofa 320 wa AFRIKA YA KUSINI walipoteza ROHO ZAO kumpigania Mh.Zuma asiende JELA miezi 15.....Unaingia barabarani kumpigania huyu, huku kwako haujaacha hata hela ya unga.. Hii ni akili au matope!
View attachment 1869352
VIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA.
Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake ya Katiba Mpya. Viongozi na Wanachama hao wamedai kwamba mabadiriko ya Katiba yaanze kwanza ndani ya Chama chao cha CHADEMA kwa kubadirisha Katiba yao.
Wakizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 26, 2021 wanachama hao wamesema Katiba ya sasa ya CHADEMA haina uhai na haibebi misingi ya demokrasia.
"Tubadili kwanza Katiba yetu ndio tupiganie Katiba ya nchi. Alisema Kiongozi wao Mackdeo Shilinde.
View attachment 1869309
Hayo matakataka yangeongea tu kama wewe ingetosha,sasa hiyo ya kujifanya eti ni wanachadema ndiyo u3enge wenyewe,nisaidie kuyatukania mama yenu mkuu,please!!Bora wamejitokeza....
Ifikie mahala CHADEMA wairekebishe katiba yao iwe kidemokrasia zaidi kabla ya kutaka mambo MAKUBWA ya Katiba ya JMT.....
#ChademaWaibadilisheKatibaYao
#NchiKwanza
#KaziIendelee
Indeed, tusubiri tuone mwishoInteresting...
Wakiwa CCM kabla ya kuhamia CHAkeng.
kengeWakiwa CCM kabla ya kuhamia CHADEMA