Wafuasi CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba ya chama kwanza

Mkuu
Nawewe umeingia hili chaka 🤣🤣🤣🤣
 
Umeingia chaka wee mama 🤣🤣🤣
 
Vijana wanadai katiba ya chama chao

Na pia wamemuombea msamaha mwenyekiti


Kwani kuna shida?
Kweli ccm ni chama cha wazee, bado kuna watu mnaweza kuwateka na hizo propaganda uchwara? Ccm muandae kikao uchwara muugize ni cdm? Watu walishamka zamani. Ni hivi, acheni utoto.
 
Unazungumzia hawa machoko wa uvccm mlioshindwa kuwaandaa wamekuja kuharisha tu
 
Ni vizuri kama wameamua kutoa boriti kwenye jicho lao kabla ya kugombana kutoa banzi kwenye jicho la jirani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
stupid, haya ni matakataka ya CCM including you aliyeleta ujinga huu hapa. Nenda twitter utaona sura zao stupid
lakini ni kweli.
Rekebisheni kwanza katiba yenu.
Kwani chadema hakuna watu wengine wenye akili wa kukiongoza chama mpaka mtu mmoja kwamba wengine kama wewe ni mapopoma.
Mtoeni kwanza nduli kwenye hicho kijichama.
 
Acheni upumbavu,,,we are more intelligent than you think,,,hao wote hakuna hata mmoja chadema,,nyinyi mmetumwa ,na kwa kudhania sisi ni makondoo mmevaa tshirt za katiba mpya movement,,,hii strategy yenu ni ya kitoto sana,,yaani ninyi ni makondoo tena yale broiler,,mkauguze kwanza vidonda na majeraha yenu ya kulewa pombe baada ya kodi kushushwa alaf mtafakari mbinu nyingine pamoja na aliye watuma,,nyumbu nyinyi
 
lakini ni kweli.
Rekebisheni kwanza katiba yenu.
Kwani chadema hakuna watu wengine wenye akili wa kukiongoza chama mpaka mtu mmoja kwamba wengine kama wewe ni mapopoma.
Mtoeni kwanza nduli kwenye hicho kijichama.

..kulikuwa na tatizo gani UV-CCM kujitokeza na kuwa-challenge CDM kuhusu katiba ya chama chao?

..wakati tunakuwa tulikuwa tunaambiwa UV-CCM ndiyo jeuri ya chama, sasa leo inashangaza wanaogopa kujitokeza na kupambana kwa hoja na vyama vya upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…