Wafuasi CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba ya chama kwanza

chadema nimbumbu hawana akli yaani watu wamejitambulisha wanawakana na kusema siyo wanachadema je ni kina nani? pumba tupu chadema
 
Sijawahi kuisoma katiba ya CHADEMA lkn kutokana na malalamiko yanayotolewa na wanachama wa CHADEMA ni wazi kabisa kuwa kuna tatizo kubwa na la msingi ktk katiba ya chama cha CHADEMA.

Viongozi wa CHADEMA wanapaswa kufanya mchakato wa kurekebisha katiba ya chama ili angalau wapate uhalali wa kuzungumzia katiba ya Nchi.

fanyieni kazi malalamiko bila kujali nani kasema, jambo la msingi ni kuangalia ukweli wa malalamiko hayo.
 
Sijawahi kuwa mwanachama wa ccm ila kutokana na watanzania wengi kusema kimekuwa chama cha majambazi ni vyema viongozi wakafanyia kazi malalamiko hayo na kuondoa wanachama majambazi.

Chama chenye wanachama majambazi hakiwezi ongoza nchi. Ccm fanyieni kazi tuhuma za wanachama majambazi kwenye chama chenu
 
kuna kipindi angalu nilisikia CCM inajivua gamba lkn Chadema tangu izaliwe sijawahi kusikia inajivua gamba!! kulikoni?
naishauri chadema ianze na kurekebisha katiba yake kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…