Pre GE2025 Wafuasi Chadema wamsindikiza Meya Mstaafu Boniface Jacob kurudisha fomu ya uenyekiti

Pre GE2025 Wafuasi Chadema wamsindikiza Meya Mstaafu Boniface Jacob kurudisha fomu ya uenyekiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa unafuraa nini hiyo ndo Chadema moto chini kwa chini....chawa na wajinga wabaki huko kijani
 
Pamoja na vitilsho vya tarehe 11 Agosti 2024 kule Mbeya, Siku ya Vijana Duniani ya BAVICHA CHADEMA, operesheni kufifisha CHADEMA iliyoongozwa na CP Awadh mkuu wa Operesheni jeshi la Polisi kufanya namba ya watanzania waliokamatwa mkoani Mbeya kuvunja rekodi kufika 992.

05 September 2024
RIPOTI YA KAMANDA WA POLISI MBEYA, WATU 992 WALIKAMATWA NA POLISI :


View: https://m.youtube.com/watch?v=8tXOvSmiN-w
 
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, anafaa sana tena sana
 
Unalia nini Dada umeumiaa...
Shida yenu wafia vyama mnakurupuka na kujitoa ufahamu sijui mnakwama wapi?

Statement ndogo mmeanza matusi
what if ni nyundo kwa watesi wenu

Wajinga ndio waliwao imewatoa ufahamu.

Kuna siku tutaelewana mtarudi humu na statements tofauti. Ni swala la muda.
 
..Boni alikuwa ananifurahisha alivyokuwa anawapiga makofi madiwani wa Ccm ktk vikao vya halmashauri.

..huyu jamaa Ccm waliogopa kukabiliana naye bila Polisi kuwepo.
 
Baadhi ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakimsindikiza aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob kurudisha fomu ya kugombea kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Pwani leo Septemba 5, 2024.

Maandamano hayo ya amani yameanzia Manzese yakitarajiwa kutamatika ofisi za chama hicho Kanda ya Pwani, zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.


Pia, soma: Kuelekea 2025 - Boniface Jacob kurejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kanda ya Pwani tarehe 05/09/2024 kwa Maandamano
Boniyai ajipange tu.atapiga sana michango ya nyumbu.ndani ya mwaka ana Bilioni yake anatulia
 
Kumbe huyu jamaa ana nguvu hivi? Kwani mwenyekiti wa sasa ni nani?
 
Shida yenu wafia vyama mnakurupuka na kujitoa ufahamu sijui mnakwama wapi?

Statement ndogo mmeanza matusi
what if ni nyundo kwa watesi wenu

Wajinga ndio waliwao imewatoa ufahamu.

Kuna siku tutaelewana mtarudi humu na statements tofauti. Ni swala la muda.
Hayo ni mawazo yako ila ulichokiandika kinaonyesha roho imekuuma.Watu wanazingatia haki mambo ya chama yamebaki kwa vihiyo.
 
Back
Top Bottom