johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
mwagito umdesi!Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni
Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao
Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri πΌ
kuna pikipiki za kichina zinaitwa JINYEE, umewahi kuzisikia?Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni
Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao
Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri πΌ
Zilikuwepo pale Chako ni Chako Bar Mwamba alivyoanguka baada ya kulewa πΌ
Ungekuwa unamiliki Nyumba ungeelewa hasa ushuani πππWatu kujazana nyumbani kwa mtu kuna shida gani? Labda yeye ndie alalamike
Kama wako kwenye compound yake hamna shida majirani inawahusu nini?
πππNenda ukalipuliwe na bomu
Leo umekuwa mkweli kwamba unaishi mtaa wa Chato,Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni
Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao
Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri πΌ
==
Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe, wakimtaka achukue fomu kwaajili ya kutetea nafasi yake ya uenyekiti.
View attachment 3179505
Chato nilipita kuangalia Wasifu wa Tundu Antipas Lisu pale TLS πLeo umekuwa mkweli kwamba unaishi mtaa wa Chato,
Ipo siku utataja jina lako halisi,
Msalimie Ex DC Kasesela
Boni Yai πHii lazima Kuna motive behind
Hapo Kuna mdau atakuwa amewalipia mafuta pamoja na Posho zao shilingi 10k Kila mmoja
Lissu jiandae, wenye Chama Chao hawako tayari kumwachia Chama mtu wa kuja, hasa asiye wa Kaskazini
Mbowe akiendelea na mpango wake wa kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa CDM, wajiandae kupoteza ushawishi na uungwaji Mkono wa Wananchi
Nimecheza nao mpira hapo uwanja wa wazi, tuliuita mkungu sheta,Chato nilipita kuangalia Wasifu wa Tundu Antipas Lisu pale TLS π
Anyway Dibo na Jobaka watoto wa Kasesela nawajua bwashee π
Ndiyo hao ambao wanaamini hakuna mtu wa kuingiza Chadema isipokuwa MboweBoni Yai π
Kulikuwa na Jamaa wa Kijapani nilikuwa nafanya naye kazi mahala, tulikuwaa tunamuita Mr. Kanya Kayashika (jina lake kamili lilikuwa ni Mr. Kanyamavi Kayashika).