Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Ni dhahiri sasa CHADEMA inaelekea kuwa kama CUF....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana Kuna makubaliano ya Siri kati ya Mbowe na CCM katika ku-balance Siasa za NchiMbowe ni mwenyekiti mwenye maono. Ni jabali la siasa za upinzani
nilifikiri wanachama kumbe wafuasiKundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni
Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao
Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri 🐼
==
Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe, wakimtaka achukue fomu kwaajili ya kutetea nafasi yake ya uenyekiti.
View attachment 3179505
View attachment 3179513View attachment 3179514View attachment 3179516
Kwahiyo akina Timo, Mringi, Enock, Miraji nk utakuwa unawajua vizuri 😂😂Nimecheza nao mpira hapo uwanja wa wazi, tuliuita mkungu sheta,
Sasa hivi kuna baa ya Rasta na office za Mtendaji kata,
Mkuu ni vigumu sana hawa vilaza wa chadema kukuelewa ,umetumia lugh nyepesi kabisa ila tatizo ni hili kundi la vilaza ambalo limeaminishwa kuwa Mzee Mbowe ndio Chadema na Chadema ndio mzee Mbowe 🙆♂️🙆♂️🙆♂️Baada ya miaka mingi kupita, leo Wacha na Mimi nichangie kidogo kuhusu yanayoendelea Chadema.
Ukitaka mabadiliko lazima uoneshe Nia ya kubadilika na si kuendelea kufanya mambo Yale yale. Wananchi wengi wamekatishwa tamaa na namna upinzani unavyokabiliana na serikali dhalimu ya CCM.
Kuna matukio mengi yamefanyika kutoka mwaka 2015 Mpaka leo ambayo yamerudisha nyuma Ari na morali ya wananchi kushiriki katika demokrasia na kwa kiasi kikubwa wamekata tamaa.
Mtu mmoja ambaye walau ameonesha kuwa na msimamo wa kukabiliana na hali tangu kipindi hicho kwa mtazamo wangu ni TAL. Huyu mtu hakika anaonesha wazi wazi ana Nia thabiti ya kuleta mabadiliko kwani Hana hata chembe ya hofu kwa Yale anayoamini yanaweza kuleta haki.
Nilidhani CDM wameliona hili kama sie watu ambao tupo nje ya CDM vile ambavyo tumeweza kuona. Nashangaa ndani ya CDM hawataki mabadiliko ilhali wanataka mabadiliko ndani ya nchi, hapa tunashangazwa wengi.
Haileti picha nzuri kuona TAL anapingwa wazi wazi na kuanza kuonekana kama ni mtu Baki wakati ameweka rehani uhai wake kusaidia vugu vugu la mabadiliko kupitia CDM.
Wengi tungependa ashike nafasi ya kuu pale CDM tuone namna Gani ataleta mbinu mpya za kukabiliana na CCM.
Mbowe amepata muda wa kutosha na kwa kweli mbinu zake hazijatosha kabisa kukabiliana na CCM ambao wanatumia Dola kuendelea kubaki madarakani.
CDM msichezee fursa hii tena, manalo jukumu la kuonesha Jamii kuwa mnaweza kubadilika kulingana na mazingira na kusaidia Jamii ya Tanzania ambayo imebaki bila msaada kwa ukoloni wa CCM.
Ahsante
Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni
Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao
Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri 🐼
==
Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe, wakimtaka achukue fomu kwaajili ya kutetea nafasi yake ya uenyekiti.
View attachment 3179505
View attachment 3179513View attachment 3179514View attachment 3179516
😂😂😂😂🙌🏿Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni
Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao
Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri 🐼
==
Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe, wakimtaka achukue fomu kwaajili ya kutetea nafasi yake ya uenyekiti.
View attachment 3179505
View attachment 3179513View attachment 3179514View attachment 3179516
Polisi hawakuona viashiria vya uvunjifu wa amani?Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni
Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao
Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri 🐼
==
Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe, wakimtaka achukue fomu kwaajili ya kutetea nafasi yake ya uenyekiti.
View attachment 3179505
View attachment 3179513View attachment 3179514View attachment 3179516
Kwahiyo akina Timo,Hao nawajua wengine ni Philipo Sengela na Edwin Sanda aliyekuwa Mbunge,Kwahiyo akina Timo, Mringi, Enock, Miraji nk utakuwa unawajua vizuri 😂😂
IsidingoHii ni bongo movie
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Haya maigizo yalifanywa na Lowasa miaka 10 iliyopita