Pre GE2025 Wafuasi CHADEMA wavamia nyumbani kwa Mbowe kumlazimisha achukue Fomu ya kugombea Uenyekiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
nilifikiri wanachama kumbe wafuasi
 
Mkuu ni vigumu sana hawa vilaza wa chadema kukuelewa ,umetumia lugh nyepesi kabisa ila tatizo ni hili kundi la vilaza ambalo limeaminishwa kuwa Mzee Mbowe ndio Chadema na Chadema ndio mzee Mbowe πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 

Hayo mambo ya CCM haya, chadema wakianza hivi hili lichama linakufa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΏ
Akiyanani
My country pipo

Mkuu Kaveli pita mitaa hii
 
Jabali ama kokoto tu, angekuwa jabali msingempa kesi ya ugaidi,

Siasa za kichawa hizo, Mbowe astaafu awaachie wengine kuongoza chama,

Bado anaheshimika sana, asitake kupitia njia za akina Lipumba na Hayati Mrema,
 
Polisi hawakuona viashiria vya uvunjifu wa amani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…