Tatizo wanyakyusa wana EGO sana mbona huku mikoa mengine, kanisa liko shwariHili kanisa lijipange vizuri namna ya kuendesha mambo yake.Kila mara linakuwa na migogoro hadi unashindwa kuamini kama kweli linafanya kazi ya mungu.
Kabisa wana siri zao nyingiKikifika kipindi cha uchaguzi wa askofu inasemekana waganga hutajirika vibaya mno
Dawa yao mabomu ya machozi tu mbuzi haoHao wananchi wanaomfuata huyo Mwaikali walifuata nini huko kanisani ambapo huyo Mwaikali hayupo?
Si wangeenda kwenye hilo kanisa alipohamia? Wawaache wengine wasali kwa amani?
KKKT imejaa maaskofu wajuaji.
Mitume ndio hao wakina saints nani sjui mizungu mitupu? Babu zenu maelfu waliuwawa sababu ya hilo genge unaloliita la mitumeKanisa ni moja katoliki takatifu la mitume.
Huyo yesu aliacha mitume ipi? Na kama aliacha mitume basi haihusiani na ukatoric, maana ktk biblia hakuna sehem yeyote inayotoa ufafanuzi wa kanisa kama dhehebu/dini bali kanisa/hekaru ni mtu mwenyewe.Kanisa ni moja tu takatifu la mitume, msihangaike enyi waamini enendeni kataka kanisa linalofuata misingi na mafundisho yaliyoachwa na Kristo mwenyewe.
Waprotestanti msinipofoe jama [emoji2][emoji2].
Hii ni kampuni mkuu na si kanisa na ndio maana huendeshwa kidikteta kutoka Roma ,eti askofu au upadrisho lazima atoe Papa kule Roma wakati wala hata anayempa uaskofu na hata waumini wake hawajuiKanisa ni moja katoliki takatifu la mitume.
Wewe. Katoliki ishabadilishwa na kuchanganywa na siasa na kuacha kabisa Yale Mungu anataka. Soma vizuri vitabu vya Ufunuo na Daniel.Kanisa ni moja katoliki takatifu la mitume.
Sina babu wala mjomba alieuwa na hili kanisa pendwa duniani.Huyo yesu aliacha mitume ipi? Na kama aliacha mitume basi haihusiani na ukatoric, maana ktk biblia hakuna sehem yeyote inayotoa ufafanuzi wa kanisa kama dhehebu/dini bali kanisa/hekaru ni mtu mwenyewe.
Anyway amka ktk ujinga hilo kanisa unalosifia liliuwa babu zako na wajomba zako kuwabaka adharani, ni vile viongozi wenu wa dini hawatak kuwaeleza ukweli ili msije mkakimbia wakose sadaka za kuendesha uchumi wa vatican na freemason kiujumla.
upuuzi mtupu jinga hao nani kawambia imani ipo ktk kumfata mtu au hekalu?Makanisa mengi yanamwongozo wa utatuzi wa migogoro ndani ya taratibu za kanisa.Ujuha tu.View attachment 2265568
Mbeya. Baadhi ya waamini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde usharika wa Ruanda, wanaomuunga mkono Askofu Edward Mwaikali aliyeondolewa katika kanisa hilo, wamesusia ibada kwa kile kinachoendelea juu ya mgogoro katika kanisa hilo.
Hatua hiyo imekuja baada ya Askofu Mwaikali ambaye sasa ametangaza kuhamia Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM), kukabidhi baadhi ya mali za kanisa hilo.
Katika ibada ya leo Jumapili Juni 19, kanisani hapo iliendeshwa na Askofu mstaafu, Dk Israel Peter Mwakyolile ambaye amesisitiza kutubu akisema kuwa wachungaji wametenda dhambi kubwa na waathirika ni waamini ambao hawana hatia.
"Mungu atusamehe sana, Dk Mwaikali na sisi wengine, wachungaji wametenda dhambi kubwa badala ya kutengeneza wamebomoa kwani tumepoteza watu wengi tunaporudi nyumbani tutafakari upya," amesema Dk Mwakyolile ambaye ametokwa na chozi wakati akizungumza madhabauni.
Mwananchi ambayo ilikuwa kanisani hapo, imeshuhudia makundi ya waamini wakiwa baadhi wamekaa kwenye viti nje ya kanisa wengine wakiwa wamesimama kwa makundi makundi wakionekana kupanga mipango yao.
Pia kama haitoshi, wapo ambao walifika kanisani hapo lakini ni kama hawakuelewa mwenendo na kuamua kuondoka kabla ya ibada kumalizika.
Source:mwananchi digital
Kwamba hauwafahamu mitume 12 wa Yesu? Watakatifu wanahusikaje? Wapo watakatifu wengi tu kina Mt Kizito Mt Bakhita Mt Karoli Lwanga n.k au unamaanisha nini?Mitume ndio hao wakina saints nani sjui mizungu mitupu? Babu zenu maelfu waliuwawa sababu ya hilo genge unaloliita la mitume
Wake up , kanisa ni wew mwenyew wala sio dhehebu au genge la dini, someni biblia vizuri enyi wavivu wa kufikiri
Nadhani akili yako haiko sawaHuyo yesu aliacha mitume ipi? Na kama aliacha mitume basi haihusiani na ukatoric, maana ktk biblia hakuna sehem yeyote inayotoa ufafanuzi wa kanisa kama dhehebu/dini bali kanisa/hekaru ni mtu mwenyewe.
Anyway amka ktk ujinga hilo kanisa unalosifia liliuwa babu zako na wajomba zako kuwabaka adharani, ni vile viongozi wenu wa dini hawatak kuwaeleza ukweli ili msije mkakimbia wakose sadaka za kuendesha uchumi wa vatican na freemason kiujumla.
Ni kweli mkuu,ila inahitaji elimu pana kumuelewesha mtu...Mungu Hana dhehebu amkeni nyie mazombi
Kanisa ni moja takatifu Katoliki la Mitume.Hii ni kampuni mkuu na si kanisa na ndio maana huendeshwa kidikteta kutoka Roma ,eti askofu au upadrisho lazima atoe Papa kule Roma wakati wala hata anayempa uaskofu na hata waumini wake hawajui
Kweli uende kwa mganga uombe kinga alfu usimame mwimbarini duh Kuna wazaz wanatafuta lahanaKikifika kipindi cha uchaguzi wa askofu inasemekana waganga hutajirika vibaya mno