Wafuasi wa CHADEMA hatutorudi nyuma kusimamia haki juu ya ukandamizaji na vizingiti

Kakke

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,883
Reaction score
1,483
Wanachama wa CHADEMA katu hatutovunjika moto na kurudi nyuma ili kupigania haki yetu .

Kitendo cha kunyiwa uhuru na kufanywa mkombaniaji uraisi wetu Tundu Lissu jana kuzuiwa na jeshi la polisi kwenye msafara wake halikutufurahisha.

Mh Tundu Lissu ni raia huru ndani ya nchi yake kama raia wengine wa Tanzania kwa hiyo ana haki ya kusalimiana na Watanzania /Mtanzania yeyote yule.

Sasa vyombo vya Dola kuzuia kusalimiana au kuzungumza na watanzania popote pale ndani ya Tanzania ni haki ya kila Mtanzania.

Hii ya vyombo vya Dola kupiga mabomu na kuwanyanyasa wafuasi wa CHADEMA si haki wala demokrasia.

Sisi ni watanzania tunahitaji tuwe huru katika mipaka ya nchi yetu ,bila bugza au kuishi kwa hofu na woga.

Hii ni nchi yetu na tunastahili kuwa huru Bila hofu.

Vitendo vinavyoendelea kukandamiza umma havileti afya kwa taifa na umma wa Tanzania.

Ndugu zangu umma wa Tanzania ningewaomba kwenye mkusanyiko kama jana tulipomunga mkono mgombea wetu Mh Lissu kuwa nae, wengi hawakujiandaa kwa chakula na maji.

Mara nyengine please tuchukue Raskets migongoni za maji na chakula jabo biscute na vitu vikavu vya kula tusende mikono mitupu ok?
 
Mnavunja sharia makusudi ,mnachokoza vyombo vya Ulinzi na Usalama ili mseme mnaonewa ...Haya mmeachwa mmekua kama Kituko mgombea wenu anajipitisha kama wale wanaofanya maonyesho na watu wanampuuza tu...You are nobody to be above the law! Mbowe Mwenyekiti wenu ni Mpinzani ila mbona ni mnyenyekevu na Watu wanamheshimu?
 
Mlisharudi nyuma au mmesahau hamahama
 
Back
Top Bottom