Wafuasi wa CHADEMA huu sio muda wa kuchukua video au picha ni muda wa jino kwa jino

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,283
Reaction score
11,558
Mkiendelea na utaratibu wa kutafuta huruma ya vyombo vya habari nk nyote mtaishia kutiwa vilema wale askari wanambiwa uko nendeni mkapige yani piga kisawa sawa sawa ili waogope

Sasa huu ni muda wa kujitoa sadaka kama umeamua kutoka nyumbani na kwenda barabarani basi aumua afe askari au mimi na maana huu si muda wa kukomaa na askari hata mmoja mnambeba na nyie mnaenda jipigia uko wenzenu wameshambiwa wawapige hata kuuwa wauwe sasa ni muda na wao kujua tunaenda barabarani kwenye kifo siyo kupiga na kuuwa wajua sasa ni vita

yani wanapiga na nyie mnapiga siyo kuchukua video nini hapana nikwenda front kinija kabisa keba hata kisu panga wao si wana bunduki ndio bora mfe wote wanakupiga risasi wewe umekata kichwa.

Pia soma >> GE2025 - Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu
 
umeongea ukweli ila Mchungu Kwa Wapumbavu wa CDM
Hapa sioni
NRNE
Chadema
Sasa wanawamanga ACT Wazalendo
Inatakiwa ifike hatua polisi wajue wanaenda kupigana siyo kupiga askari nchi wachache sana hata walete wanajeshi waje watue ila Mungu apiganie damu zetu dam ya mtu hainda kishamba askari akijua napoenda uko na miye naweza kufa mambo yatakuwa mazuri

Wao si wanabunduki ni kutoka nyumbani na panga kali sana, shaka kali sana mnakamata askari hata watatu mnazisha shaka.kifuani mwingine mnakata kichwa mbona heshima itakujatu

Mfano leo hii tumeona mahakana inavyoinajisi sheria na kwakua walijua kuna ujinga huo wakamua kuleta askari wengi
 
umeongea ukweli ila Mchungu Kwa Wapumbavu wa CDM
Hapa sioni
NRNE
Chadema
Sasa wanawamanga ACT Wazalendo
Ni muda wakujitoa sadaka ili mungu aipokee ajibu maombi hizi mambo polepole anaongea sijui nini, mala mangekimbi kandika nini hawa jamaa watumaliza nikupotezeana muda wenzetu washamua kama kutua watuue ili wao wabaki salama wakiendelea kula keki ya taifa na familia zao
 
Mkiendelea na utaratibu wa kutafuta huruma ya vyombo vya habari nk nyote mtaishia kutiwa vilema wale askari wanambiwa uko nendeni mkapige yani piga kisawa sawa sawa ili waogope

Sasa huu ni muda wa kujitoa sadaka kama umeamua kutoka nyumbani na kwenda barabarani basi aumua afe askari au mimi na maana huu si muda wa kukomaa na askari hata mmoja mnambeba na nyie mnaenda jipigia uko wenzenu wameshambiwa wawapige hata kuuwa wauwe sasa ni muda na wao kujua tunaenda barabarani kwenye kifo siyo kupiga na kuuwa wajua sasa ni vita

yani wanapiga na nyie mnapiga siyo kuchukua video nini hapana nikwenda front kinija kabisa keba hata kisu panga wao si wana bunduki ndio bora mfe wote wanakupiga risasi wewe umekata kichwa.

Pia soma >> GE2025 - Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu
Mkuu yote mawili ni muhimu sana.

Iko hivi Chadema Fungueni kesi mahakama za East Africa au ICC mtu binafsi sio kikundi (polisi).

Picha zao ziwe displayed social media zote individually wapate kufahamika na kuwafungulia mashtaka sio ndani ya ardhi ya Tz bali nje iwe mfano kwa polisi wengine..

Press conference hazizai matunda. Pelekeni barua balozi zote zenye kujidai wanahubiri demokrasia
 
Hapa ndio huwa tunawaza kwanini hawafanyi hivi wanaishia press conference nk siumeona leo mwakambusi anaongea ujinga gani sijui kidogo nidondoke
 
Acha ujinga kwenye vitu seriously tena kaa mbali kabisa nyambafu
Si umesema mwenyewe utabeba panga, ngoja Lissu apangiwe tarehe nyingine ya kurudishwa mahakamani nitarudi kukutajia tarehe ili hiyo siku uende mahakamani na shoka pamoja na panga ili uwakate kichwa polisi
 
Hivi police wanaweza kupiga mtu vile na virunga alafu wanayempiga ajashika panga wala chochote. Mahakama inasemaje kuhusu ili suala maana wamepigwa nje ya jengo lao mahakama haki kweli ipo?
 
Mkuu yote mawili ni muhimu sana.

Iko hivi Chadema Fungueni kesi mahakama za East Africa au ICC mtu binafsi sio kikundi (polisi).

Picha zao ziwe displayed social media zote individually wapate kufahamika na kuwafungulia mashtaka sio ndani ya ardhi ya Tz bali nje iwe mfano kwa polisi wengine..

Press conference hazizai matunda. Pelekeni barua balozi zote zenye kujidai wanahubiri demokrasia
Mahakama ya ICC haina ishu yoyote ni kupoteza mda tu
 
Mkiendelea na utaratibu wa kutafuta huruma ya vyombo vya habari nk nyote mtaishia kutiwa vilema wale askari wanambiwa uko nendeni mkapige yani piga kisawa sawa sawa ili waogope

Sasa huu ni muda wa kujitoa sadaka kama umeamua kutoka nyumbani na kwenda barabarani basi aumua afe askari au mimi na maana huu si muda wa kukomaa na askari hata mmoja mnambeba na nyie mnaenda jipigia uko wenzenu wameshambiwa wawapige hata kuuwa wauwe sasa ni muda na wao kujua tunaenda barabarani kwenye kifo siyo kupiga na kuuwa wajua sasa ni vita

yani wanapiga na nyie mnapiga siyo kuchukua video nini hapana nikwenda front kinija kabisa keba hata kisu panga wao si wana bunduki ndio bora mfe wote wanakupiga risasi wewe umekata kichwa.

Pia soma >> GE2025 - Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu
Wewe utakuwa umetumwa na Samia na Genge lake; tena pengine hata kwa kupewa vihela uje hapa kuvuruga mapambano yanayo endelea; mapambano ambayo hao unao wapigania hapa wanayaogopa sana.

Nenda kwaambie hao walio kutuma kwamba CHADEMA walisha pita hatua duni kabisa kama hiyo wanayotafuta ili wajiimarishe kwenye utawala wao kwa nguvu.
Waeleze hao mabwana zako, kwamba waTanzania wakiongozwa na CHADEMA watapanga muda wao na ratiba yao wa kulikomboa taifa hili kwa njia sahihi wasiyoweza kuizuia wao kwa kutumia mitutu ya bunduki.
 
Mkuu yote mawili ni muhimu sana.

Iko hivi Chadema Fungueni kesi mahakama za East Africa au ICC mtu binafsi sio kikundi (polisi).

Picha zao ziwe displayed social media zote individually wapate kufahamika na kuwafungulia mashtaka sio ndani ya ardhi ya Tz bali nje iwe mfano kwa polisi wengine..

Press conference hazizai matunda. Pelekeni barua balozi zote zenye kujidai wanahubiri demokrasia
Baadhi ya hawa watu hawaelewi uzito wa ushahidi wa picha katika matukio ya namna hii. Hata bila kwenda huko kwenye mahakama za huko; uwepo wa picha hizo za polisi wakinyanyasa waTanzania au kuua; ni polisi gani ataishi kwa amani maisha yake yote akijuwa ushahidi huo upo?

Huyu mjinga aliye anzisha mada hapa, anatafuta tu waTanzania wauliwe; halafu wauaji wadai kuwa walikuwa wakizima vurugu!
 
Hivi police wanaweza kupiga mtu vile na virunga alafu wanayempiga ajashika panga wala chochote. Mahakama inasemaje kuhusu ili suala maana wamepigwa nje ya jengo lao mahakama haki kweli ipo?
Hilo neno "HAKI" hapa nchini siku hizi linatumika na kuheshimiwa wapi?
 
Back
Top Bottom