Wafuasi wa CHADEMA huu sio muda wa kuchukua video au picha ni muda wa jino kwa jino

Wafuasi wa CHADEMA huu sio muda wa kuchukua video au picha ni muda wa jino kwa jino

Si umesema mwenyewe utabeba panga, ngoja Lissu apangiwe tarehe nyingine ya kurudishwa mahakamani nitarudi kukutajia tarehe ili hiyo siku uende mahakamani na shoka pamoja na panga ili uwakate kichwa polisi
pamoja na kwamba sina lolote ninalokubaliana nawe katika maswala ya nchi yetu; lakini hapa naungana nawe hata kama ni kwa sababu tofauti kabisa.
Huyo mleta mada hakuna ajualo.
 
Picha zao ziwe displayed social media zote individually wapate kufahamika
Muhimu kabisa kuliko jambo jingine lolote kwa sasa.
Yanapotokea matukio kama hayo PICHA ni silaha muhimu sana. Kuna mahakama za mitaani pia; unakumbuka!
 
Sawa tarehe iliyopangwa kesi ya Lissu nenda kaonyeshe mfano ukiwa na panga lako
Bora yeye hajaenda..kuliko kwenda kupigwa virungu na kurudi nyumbani kumuonesha mkeo na watoto wakati wewe hujampapasa yoyote.
 
Wewe utakuwa umetumwa na Samia na Genge lake; tena pengine hata kwa kupewa vihela uje hapa kuvuruga mapambano yanayo endelea; mapambano ambayo hao unao wapigania hapa wanayaogopa sana.

Nenda kwaambie hao walio kutuma kwamba CHADEMA walisha pita hatua duni kabisa kama hiyo wanayotafuta ili wajiimarishe kwenye utawala wao kwa nguvu.
Waeleze hao mabwana zako, kwamba waTanzania wakiongozwa na CHADEMA watapanga muda wao na ratiba yao wa kulikomboa taifa hili kwa njia sahihi wasiyoweza kuizuia wao kwa kutumia mitutu ya bunduki.
Punguza uzuzu wako
 
We mzee umewaza kama Mimi, Chadema wanalia Lia sana, sawa ya moto ni moto wakifanya jino kwa jino mara kadhaa wataheshimiana tu.
 
Joto ni kali sana kwenye mioyo ya watanzania wanao jitambua, pale wangekavuta kapolisi kamoja wakaweke mtu kati dakika mbili nyingi mnapiga na moto.
 
Ni kweli kabisa twende tukajitoe sadaka, jino kwa jino

1000058037.jpg
 
Joto ni kali sana kwenye mioyo ya watanzania wanao jitambua, pale wangekavuta kapolisi kamoja wakaweke mtu kati dakika mbili nyingi mnapiga na moto.
 
Hii mbinu mpya mnaenda na petrol kabisa kumpiga itachukua muda ni kumshika kumwagia petrol nakuwasha over
 
Back
Top Bottom