Wafuasi wa CHADEMA matusi hayatawasaidia, si sehemu ya maadili ya Mtanzania

punda anarusha mateke ya mwisho
 
Wakiacha matusi na kupost No reform No erection wana nini kingine cha kuongelea? Hawana uwezo wa kujenga hoja za kisiasa, hawajui uchumi, hawajui biashara wala social issues; wataandika nini sasa?
 
Mbona wewe na mumeo wakati mnafanya mapenzi huwa mnaongea matusi huwa yanawasaidia nini?
Naona think tank la chadema ndo limeongea hapa.....hv ndivyo alivyojibu ushauri wa kutotukana aliopewa na msamaria mwema. Nasikia mwezi oktoba wanachukua nchi bwana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ila ni fahari kuwa chama cha wizi wa kura, utekaji na kuingiza nchi kwenye mikataba michafu.
Wananchi wanasema No reform No election
 
Attachments

  • TUNDU LISSU ALIVYO SHUKA KWENYE GARI NA KUINGIA MAHAKAMANI KISUTU.mp4
    3.3 MB
Umebakwa wewe! Lete uthibitisho wa daktar
Hao mliowabaka(mliowalawiti) na wakauhabarisha umma inatosha au kwako mpaka mbake raia wote wa Tanganyika ndipo roho yako itarikia kuwa mmebaka vya kutosha?
Huyo kiongozi wenu anayewatuma kubaka she is as guilty sawa na nyinyi wafi*raji wenyewe.
 
Pole umebakwa si upeleke vithibitisho vya afya Polisi
 
Wakiacha matusi na kupost No reform No erection wana nini kingine cha kuongelea? Hawana uwezo wa kujenga hoja za kisiasa, hawajui uchumi, hawajui biashara wala social issues; wataandika nini sasa?
Exactly kabisa hawana hoja ...wanahoja butu sana chadema
 
Pole mkuu Kuna sehemu umedai ulibakwa vp ushaenda kupimwa kituo Cha afya? Peleka vipimo Polisi mkuu
 
WAFUASI WA CCM TUACHE KUWA NA KIBURI KUHISI KWAMBA HII NCHI NINYETU PEKE YETUUU NA KUCHONGANISHA VYAMA VINGINE TUKIRINGA NA TISS NA POLISI HUO SIO SULUHU YA KUDUMU
Matusi matusi ni kosa
Shida Upinzani muda wote wanapandisha kisukari tukiwauliza Sasa hyo slogan mnadhani ni msaada kwenu wajibu kwa matusi, tukisema mna hoja nyngne inje ya slogan? Wanatukana.
Nadhan hawana elimu
 
🤣🤣🤣Kuna mtu ananiambia hashtag ya chadema inapotea kwa Kasi Sana na hawana mubadala. Mwaka huu mtanyooshwa na slogan ya tunatiki...karibuni simiyu tumpokee Mh. Rais Dr Samia
Umemwamini huyo mtu? Una hakika hajakuongopea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…