Wafuasi wa CHADEMA matusi hayatawasaidia, si sehemu ya maadili ya Mtanzania

MAtusi na maneno mengi ila hutawaona kupiga kura siku ya tukio.
 
Umemwamini huyo mtu? Una hakika hajakuongopea?
Na mm ninaona, sababu mnawatumia watukanaji ku run agenda zenu ...eti mange kimambi sjui maria Sarungi 🤣🤣🤣
Hzo ni laana.
Anyway: October tunatiki
 
Umemwamini huyo mtu? Una hakika hajakuongopea?
Na mm ninaona, sababu mnawatumia watukanaji ku run agenda zenu ...eti mange kimambi sjui maria Sarungi 🤣🤣🤣
Hzo ni laana.
Anyway: October
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…