LGE2024 Wafuasi wa CHADEMA walaani kauli za Kashfa na Kejeli za Tundu Lissu baada ya Mwenyekiti Mbowe kukamatwa na Polisi

LGE2024 Wafuasi wa CHADEMA walaani kauli za Kashfa na Kejeli za Tundu Lissu baada ya Mwenyekiti Mbowe kukamatwa na Polisi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Lissu kashaona Mbowe ni chenga na Lissu alivyo atampiga sana spana mbowe safari hii
 
Msemakweli Mpenzi wa Mungu wa mbinguni 😂
Lissu amenyooka kama wazungu.
Lissu amechoshwa na janja janja za Mbowe

Yaani mtu alifungwa na ccm siku za kutosha eti siku anaachiwa kabla hajafika kwake kuoga ...mnoo Ikulu, huu si usanii mtupu?
 
Wewe una akili ndogo na sio kosa lako ,hata kama hujasoma saikolojia Hilo liko wazi.

Lisu na Magu Wana tofauti gani? Nikupe mfanano wao?

..Lissu hawafanani hata punje na Magufuli.

..Magufuli alikuwa na roho ya kinyama na kikatili, Lissu hana tabia za namna hiyo.
 
Mbowe alitapeliwa kwenye 4R's
Lakini kwa mtu muungwana yoyote yule kusikiliza na ustahamilivu ni vitu muhimu.

At least now we know CCM ni danganya toto - 4R zote ulikuwa ni usanii - PROVED.

Sasa kama Mbowe na Kamati kuu wamegomea maongezi ya maridhiano kabisa then CCM ikasema chama gani kinagomea hata maongezi ya amani?? Nani angewa-prove CCM wrong??
 
Back
Top Bottom