Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa chiembe,choice na lucas sio?Lissu ni potentially dictator
Kama ana kosa Mahakama si ipo?Kwa kumkejeli bosi wake? Ingekuwa danganya toto saizi mungekuwa mko.lock up ya Kisiasa kama awamu ya Magu.
Wewe una akili ndogo na sio kosa lako ,hata kama hujasoma saikolojia Hilo liko wazi.Kwa mujibu wa chiembe,choice na lucas sio?
Lakini yenyewe ndio inakutoa pangoni sio?Wewe una akili ndogo na sio kosa lako ,hata kama hujasoma saikolojia Hilo liko wazi.
Lisu na Magu Wana tofauti gani? Nikupe mfanano wao?
Lissu amenyooka kama wazungu.Msemakweli Mpenzi wa Mungu wa mbinguni 😂
Kwani naishi pangoni?Lakini yenyewe ndio inakutoa pangoni sio?
Umesahau maneno ya mwalimu wenu wa sii hasaa?Kwani naishi pangoni?
Lissu ni potentially dictator
Wewe una akili ndogo na sio kosa lako ,hata kama hujasoma saikolojia Hilo liko wazi.
Lisu na Magu Wana tofauti gani? Nikupe mfanano wao?
Hujui kitu wewe Kaa kimya..Lissu hawafanani hata punje na Magufuli.
..Magufuli alikuwa na roho ya kinyama na kikatili, Lissu hana tabia za namna hiyo.
Sasa kwani Lisu yukoje? Si hajashika madaraka ndio maana huwezi tambua ila sisi tunaojua saikolojia ya binadamu ndio tunakueleza Sasa...Lissu hawafanani hata punje na Magufuli.
..Magufuli alikuwa na roho ya kinyama na kikatili, Lissu hana tabia za namna hiyo.
Sasa kwani Lisu yukoje? Si hajashika madaraka ndio maana huwezi tambua ila sisi tunaojua saikolojia ya binadamu ndio tunakueleza Sasa.
View: https://www.instagram.com/reel/DCyf2DrCAj0/?igsh=dTBodGdkbzVsdWN2
Lakini kwa mtu muungwana yoyote yule kusikiliza na ustahamilivu ni vitu muhimu.Mbowe alitapeliwa kwenye 4R's