kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Hizi sauti ukipita mitandao yote unasikia sauti hizo za wanafiki.
Mwingine kaenda mbali Simba na Yanga zifutwe baada ya kuona umma umepuuza matarajio tulijua mapema hawa keyboard warrior hawana mpango ona sasa.
Eti wanategemea kanisa liwasemee, ubalozi wa nje uwasemee. Wameanza upuuzi wa tarehe 24 mahakamani, tuwaulize swali kabla ya mahakamani huyo mtu sikachukuliwa mbele ya mikono ya yenu makamanda tena Jasusi Sosopi akiwakabidhi mchukueni bila kumpiga.
Dah makamanda wanamsulubu na kumdhihaki mwenyekiti kama Yesu!