kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Kijana wa watu anakumbana na ulaghai wa hali ya juu pindi wanapoonana na baadhi ya wafuasi. Wanamuonyesha kuwa walikuwa hawalali, hawali, hawahemi, kunywa bia wala kujamiana wakimuaza Lissu huko gerezani. Ni uongo mtu. Hebu ona hapa. Kama wanachadema woote wangekuwa kama hivi huko mitaani basi Lissu angeshatolewa. Haka ni kakundi kadogo ka hamasa kalikojitokesha mara moja ku show case, baada ya hapa wanarudi kwenye kazi zao na shughuli zao na starehe zao.
View: https://youtube.com/shorts/GEoE-_q70no?si=imR2JhGCbnu9ix9T
View: https://youtube.com/shorts/GEoE-_q70no?si=imR2JhGCbnu9ix9T