Wafuasi wa Lissu wanamdanganya wakikutana naye

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Kijana wa watu anakumbana na ulaghai wa hali ya juu pindi wanapoonana na baadhi ya wafuasi. Wanamuonyesha kuwa walikuwa hawalali, hawali, hawahemi, kunywa bia wala kujamiana wakimuaza Lissu huko gerezani. Ni uongo mtu. Hebu ona hapa. Kama wanachadema woote wangekuwa kama hivi huko mitaani basi Lissu angeshatolewa. Haka ni kakundi kadogo ka hamasa kalikojitokesha mara moja ku show case, baada ya hapa wanarudi kwenye kazi zao na shughuli zao na starehe zao.


View: https://youtube.com/shorts/GEoE-_q70no?si=imR2JhGCbnu9ix9T
 
Kama ni "kakikundi kadogo " ka hamasa wewe zezeta una hofu gani?

Una policcm, mahakamaccm, bungeccm, tumeccm, usalamaccm, magerezaccm, halafu ili uingie Kariakoo unakagua maduka na kufunga biashara za watu ndio uingie public hofu ya nini kwa kikundi kidogo ka hamasa ambako hakana hata mshale na upinde?
 
Sisi waislam sote tunaamini kutakua na siku ya hukumu ambae hakimu atakua Allah. Siku hio itakua ngumu sana.
 
Yeye Lissu anasema hapewi ruhusa ya kuonana na watu gerezani wewe unakuja kutwambia anadanganywa how ? mpumbavu wewe unakuja hapa kupotosha watu kwaajili tu ya buku saba halijui hata linaongea nini?
 
Ndio sababu bibienu kila tukimkera huwa anabwatuka
 
Ulitaka wafanyeje? Ama ulitaka waingie wafungwe naye? Kwani alipokuwa mbunge wananchi walikuwa wanaingia naye ndani ya bunge? Hapo wamefika kumfariji kama kiongozi wao. Wasingejitokeza ungesema hata cdm hawamjali. Wangeandamana atolewe kwa nguvu ungesema wanavunja sheria.
 
Hati TAYARI, vip sasa safari ni lini braza ili tumsindikize kwa pilato wa kimataifa
 
Hofu yetu kuu ni kuona kumbe chadema kimegeuka kundi la mungiki lenye nia ya kuichoma nchi na matandiko yake. Limekodi mungiki kuja kuharibu nchi ya tz na vilivyomo, baaaasi, nothing less nothing more.
 
Sisi waislam sote tunaamini kutakua na siku ya hukumu ambae hakimu atakua Allah. Siku hio itakua ngumu sana.
Siku hiyo hakuna kuficha kitu. Nyani na kima na mahindi yao mdomoni, nguruwe na mihogo yao midomoni na binadamu na magunia ya dhambi zake mgongoni. Hakuna haki inayopora haki ya wengine. Huwezi kudai haki yako kwa kupora haki ya wengine ya kulindwa na polisi mitaani kwao, kuchoma usafiri wao, kuchoma ajira zao na kumkata kidole mtu aliyetimiza haki yake ya kupiga kura. Lissu anapigania haki ipi ya nani kwaajili ya akina nani?

Eti hawa wote hawana haki mbele ya chadema

View: https://youtube.com/shorts/uK2C7CmPyx0?si=NogysfYURqRjkpfa
eti hawa hawana haki ya kupatiwa ruzuku na serikali yao mbele ya Lissu

View: https://youtube.com/shorts/LJMYliVKyHQ?si=tGgHN7zob1Cb_Mqd
Eti hawa wote ni wapumbavu mbele ya chadema na Lissu

View: https://www.youtube.com/live/GXl9kDEBJbU?si=Da1vJWHKeB6NNbfY
 
Yeye Lissu anasema hapewi ruhusa ya kuonana na watu gerezani wewe unakuja kutwambia anadanganywa how ? mpumbavu wewe unakuja hapa kupotosha watu kwaajili tu ya buku saba halijui hata linaongea nini?
Watu wanapiga pesa kupitia tukio la Lissu kuwa gerezani kwa njia 3. Kupitia michango, kuendelea kupata mafao ya ukimbizi kwa familia zao na kupata maslahi ya kisaisa.

Haki gani hiyo mnayoipigania? Jamii yetu haina haja na haki, sio shida yao

View: https://youtube.com/shorts/AhQpYlImt6E?si=alx-fcK76GtwBF-R
 
mwamba yupo ubaoni mwa bbc
natutashauri wawe na kitu BBC vijijini duniani wawe wanaelimisha zwazwa kama wewe
 
mwamba yupo ubaoni mwa bbc
natutashauri wawe na kitu BBC vijijini duniani wawe wanaelimisha zwazwa kama wewe
Wewe ndiye zwazwa usifahamu kwani Netanyahu na Putin hawako kwenye ubao wa bbc wakati wameua watu wengi sana kule palestina na ukrane. Kwanini Trump hayuko kwenye ubao wa bbc wakati kaenda kumnyakua Rais maduro kule Venezuela. Ukweli hamna insight kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…