LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Pontyo wa Pilato akawauliza wayahudi " Wanamtaka nani Kati ya Yesu na Baraba? Nani afunguliwe nani abaki?"
Kwa mshangao wa Pilato wayahudi Waka shout wakisema " Tunamtaka Baraba"
Hadi Pilato aliguna. Ndio maana akajioa hatia juu ya damu ya Yesu .
Na Yesu alipozikwa, Pilato aliagiza kaburi la Yesu liandikwe " IESUS NAZARENUS REX IUDAISM" Kwa maana ya " YESU MNAZARETH MFALME WA WAYAHUDI" Kwa sababu Hilo ndio "kosa" ambalo wayahudi walimtuhumu nalo Yesu kwa serikali ya warumi .
( Treason/ uhaini) Kwa maana ya kwamba Yesu aliji tangaza yu mfalme wa Yudea wakati Yudea ilikuwa chini ya utawala WA warumi.
Ndicho wanacho kifanya the so called " Wafuasi wa Lissu"
Wanamtaka Baraba " Lissu" hawamtaki Yesu ( Mbowe)
Mbowe mwenye uzoefu wa kutosha wa kuongoza Chama cha siasa.
Mbowe mwenye personality ya kiongozi wa juu wa taasisi kubwa kama Chadema.
The Diplomatic Mbowe, mnataka aachie ngazi ila Lissu ambae hana uzoefu wowote katika kuongoza taasisi kubwa kama Chadema.
Lissu ambae hana haiba ya uongozi( Lissu ni mwanaharakati tu na Sio kiongozi), ndio mnataka apewe uongozi wa Chama?
Hesabu ya wapi hii? Yani you want to replace 20+ with zero?. Are u mad?
Mbowe = 20+ years of experience.
Lissu = Zero year of experience.
And u guys want to replace " 20+ years of experience" with " Zero years of experience"?
Hata Ole Gunnar ata GUNA.
Ni mwendawazimu tu ndio anaweza Ku exchange his 20+ million shillings with zero shillings.
Unakuta "msomi" kabisa anasema ;
" Mbowe ameongoza Kwa muda mrefu Sana Sasa ampishe Lissu aongoze"
Akili kama za Nguruwe pori, mikono anayo lakini ana chimba mihogo Kwa kutumia pua.
Sasa kama ana experience ya Zaidi ya miaka 20 si ndio Sasa anatakiwa kuaminiwa zaidi Kwa sababu tayari ana experience ya kutosha?.
Mnataka kumchukua mtu asie na experience yoyote wala haiba ya uongozi ndio aongoze Chama wakati mtu mwenye experience na haiba ya uongozi yupo? .
Akili kama za Wayahudi wa Luka 23: 18-25.
....
Watanzania wanao taka Lissu apewe Uenyekiti wa Chadema wana prove nadharia yangu kwamba " Many Tanzanians are poor judges of characters"
Poor judges of characters are so good in making poor decision.
Ndio maana unaona watu eti wanataka Lissu ndio awe Mwenyekiti wa Chadema.
Lissu huyu huyu?
Yani kabisa kabisa mtu na Akili zake timamu anashindwa kabisa kujudge characters za Lissu na kuona kwamba Lissu hana haiba ya uongozi?
Even Steve Wonders can see this
Baadhi ya watanzania wanakuwaga kama ma Bwege Nazi vile wana macho matatu lakini hawaoni.
........
Ushauri wangu Kwa wanachadema. Siku ya uchaguzi " Make Sure You Freeman Mboweling your votes".