Wafuasi wa Lissu wanamtaka Baraba

Wafuasi wa lissu watamtakaje baraba? Huu mfano haulingani kimukhtadha. Labda ungesema wafuasi wa mbowe wanamtaka lissu
 
Ayatollah khemenei kaguta nkurunzinza mbowe kayatimba tunamrudisha Arusha 😄😄😄
 
Unakaribia Kuwaaminisha Mamburula Kwa Andiko hili,Ila kwa Miaka Yake 20+ Ana Impact Gani Ameileta? Kabla Mboweling Hajachukua Hiyo Nafasi Ya Mwenye Meza Hapo Chademani Alikuwa Na Uzoefu Gani Mara Zote Huwa Nina pingana Na Watu Wenye Mawazo Ya Aina Hiyo Uongozi kama Wa Chama Huwa Aliye Teuliwa Anaupatia Kazini Na Ndio Maana Ccm Ukishinda Urais Hapo hapo we Ndo Unakuwa Mwenyekiti Hivi Mbona Rais Hatutaki Mwenye Uzoefu? Mi Naamini vipo vitu vinahitaji Uzoefu Ila Sio Mambo kama Uongozi Kama Uzoefu Ni Msingi kwenye Uongozi Tumrudishe Jakaya Madarakani Maana Ana Uzoefu Kuliko Mama,Tuwaige Americano.
 

20 years experience? Kumbe waitoe vipi CCM yenye 60 years experience?

Au kelele Kwa kina Kaguta, PK au huyu hapa naye?



Mtamaliza bucha zote ila mwamba akwendreee!
 
Magembe haubiri ila anajitangazia utakatifu. Kwamba yeye tu ndio anapatia ila wengine wote


Waitoe CCM wanapata wapi hiyo Akili?

Swadakta kumbe li CCM?

Ndiyo maana unaungwa mkono na wenzio wa damu keep na Ngong'o, Erythrocytes na wenzao.

Shikilieni hapo hapo.

Aina zenu hatuwahitaji!
 
O
Of course hakukua na ulazima wowote wa jk kuachia madaraka hiyo 2015 ni vile tu katiba yetu mbovu
 
Swadakta kumbe li CCM? Ndiyo maana unaungwa mkono na wenzio wa damu keep na Ngong'o, erythrocytes na wenzao.

Shikilieni hapo hapo.

Aina zenu hatuwahitaji!
Mbona kama ume pagawa mkuu
 
Walipokua wameketi akawaambia mmoja kati yenu atanisaliti,walihuzunika,wakaulizana je ni mimi Bwana?je ni mimi Bwana?
 
Magembe haubiri ila anajitangazia utakatifu. Kwamba yeye tu ndio anapatia ila wengine wote


Waitoe CCM wanapata wapi hiyo Akili?
Huenda kweli anaona Kuna wachungaji wamekengeuka kama yule wa vatcan
 
Wewe ndie mjinga kuliko sisi watanzania uliotubagaza. Ina maana leo hii Mbowe akiwa hayupo aidha anaumwa, amekufa chama kitaendaje ikiwa hakuna mwenye 20+years of experience?
Unajua role ya makamu mwenyekiti ni ipi? haitoshi kutoa hiyo experience?
 
Uchawa hadi unapoteza kumbu kumbu!

Lisu anakosaje uzoefu wakati ni naibu wa Mbowe?

Samia alikuwa naibu wa Magufuli, alishindwa kuongoza nchi alipokabidhiwa uongozi?

Lisu hajaokotwa jalalani, ni mzoefu.

Halafu mbona pyepyepye nyingi sana kumkingia kifua Mbowe, kuna nini huko, au yaliyosemwa na Dr Slaa yameanza kutimia'nini?

Hamuwezi mkatupa muda kidogo wadau tukapumua kwa kuwapima hao wagombea sisi wenyewe bila kulishwa maneno?

Hizi tango pori zenu zimekuwa too much sasa!
 
Rais wa chama cha wanasheria tanganyika, mwanasheria mkuu wa chadema, makamu wa mwenyekiti chadema, mgombea urais wa chadema na bado mwanachama mmoja tu anamwona Lisu hatoshi-Upunguani ndio huu.
 
Nimeishia hapa kusoma

Mbowe = 20+ years of experience.

Lissu = Zero year of experience.

Hii ndo comment yangu:
bado tunakazi sana kuendelea, Hadi watu kama wewe wote wafe ndio nchi itasonga mbele
 
Nimeishia hapa kusoma

Mbowe = 20+ years of experience.

Lissu = Zero year of experience.

Hii ndo comment yangu:
bado tunakazi sana kuendelea, Hadi watu kama wewe wote wafe ndio nchi itasonga mbele
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…