Uchaguzi 2020 Wafuasi wa Mgombea Zury Nanji, anayewania Ubunge Bunda Mjini Watishana kuuana kwa Risasi, Mmoja awekwa Rumande

chuki

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
2,715
Reaction score
534
Wafuasi wa Mgombea Zury Nanji maarufu kama Mwanza Huduma, wametupiana maneno na kutishana kuuana kwa Risasi, Wafuasi hao ni Mkiti wa CCM Wilaya ya Bunda Justine Lukaka ambae ni mbeba mikoba ya Muhindi huyo na amenukuliwa kila mara akisema "anae Mgombea wake kichwani mwenye ngozi nyeupe" Aliyasema hayo akiwa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM wilaya hivi karibuni.

Na Mwingine ni Diwani wa Kata ya Kabarimu Pastory Ncheye ambaye ametisha kumuua Mkiti huyo kwasababu amekuwa anakula peke yake Mgao wa Mamilioni yanayotolewa na Mwanza Huduma.

Hivi karibuni Mwanza Huduma alitoa Mamilioni kwa Wafuasi wake ili kudhamini sherehe za CCM Mkoa wa Mara zilizofanyika Bunda lakini wajanja wachache wakazila na kuwasilisha laki nne tu.

Na walipodaiwa Listi walisema wataitoa baadae.
Mwanza Huduma alitoa Milioni kumi ili kujenga Choo ya CCM Wilaya lakini Mwenyekiti Justine Lukaka amejenga choo ya Thamani ya Laki 7 yenye tundu moja tu.

Baadae Mtia nia huyo alitoa Taa za kuwekwa barabarani na kupokelewa na Chama cha Mapinduzi kinyume na utaratibu na bado hakuna hatua zilizochukuliwa.

Ulaji huu bila kumgawia Mfuasi huyo ameleta ugomvi mkubwa mpaka kutishiana kuuana Hali iliyomfanya Mkiti huyo kukimbilia Polisi na Diwani huyo kuswekwa ndani.

OCD alipoulizwa jambo hili amesema Viongozi hao wanatia Aibu sana amepanga kuwaita Wazee ili kuwapatanisha ili kilichopatikana wagawane pasu ugomvi uishe.

Wengine walionufaika na Mipesa ya Mhindi huyo ni Mkuu wa Wilaya ya Bunda ambae amekuwa Mtetezi wake, Mwenezi wa CCM wilaya, Mkiti wa Vijana na baadhi ya wapambe wa Mitaani, wote hao wamekuwa wakipokea Mgao toka kwa Ndugu Suleimani Nassoro Agent wa Mpesa Bunda Mjini.

Uongozi wa CCM wilaya ya Bunda utavunjana Shingo kwa kupenda Rushwa, Umulikwe kwa jicho la Tatu.
 
Mwanza Huduma hafai kuwa Mbunge wa Bunda mjini na nia yake ni kulinda biashara zake.
 
Kuna kipindi nilikuwa India nikauliza kama waliwahi kumpata mbunge au mwenyekiti wa mtaa kutoka Afrika wakanishangaa sana
Waende wakaulize Singida mjini faida /hasara za kuwa na wabunge wafanyabiashara wakubwa was kihindi kama wao walivyopata kuwa na MO Dewji.
Hawana hamu tena!

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
kashadanja mmoja na covid 19
lukaka covid.JPG
 
Write your reply...mbunge ajaye bunda mjini ni Maboto, nina uhakika na ushahidi 99.9%
 
Kuna kipindi nilikuwa India nikauliza kama waliwahi kumpata mbunge au mwenyekiti wa mtaa kutoka Afrika wakanishangaa sana

In God we Trust
Hongera kwa kufika India mkuu.
 
Wafuasi wa Mgombea Zury Nanji maarufu kama Mwanza Huduma, wametupiana maneno na kutishana kuuana kwa Risasi, Wafuasi hao ni Mkiti wa CCM Wilaya ya Bunda Justine Lukaka ambae ni mbeba mikoba ya Muhindi huyo na amenukuliwa kila mara akisema "anae Mgombea wake kichwani mwenye ngozi nyeupe" Aliyasema hayo akiwa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM wilaya hivi karibuni.

Na Mwingine ni Diwani wa Kata ya Kabarimu Pastory Ncheye ambaye ametisha kumuua Mkiti huyo kwasababu amekuwa anakula peke yake Mgao wa Mamilioni yanayotolewa na Mwanza Huduma.

Hivi karibuni Mwanza Huduma alitoa Mamilioni kwa Wafuasi wake ili kudhamini sherehe za CCM Mkoa wa Mara zilizofanyika Bunda lakini wajanja wachache wakazila na kuwasilisha laki nne tu.

Na walipodaiwa Listi walisema wataitoa baadae.
Mwanza Huduma alitoa Milioni kumi ili kujenga Choo ya CCM Wilaya lakini Mwenyekiti Justine Lukaka amejenga choo ya Thamani ya Laki 7 yenye tundu moja tu.

Baadae Mtia nia huyo alitoa Taa za kuwekwa barabarani na kupokelewa na Chama cha Mapinduzi kinyume na utaratibu na bado hakuna hatua zilizochukuliwa.

Ulaji huu bila kumgawia Mfuasi huyo ameleta ugomvi mkubwa mpaka kutishiana kuuana Hali iliyomfanya Mkiti huyo kukimbilia Polisi na Diwani huyo kuswekwa ndani.

OCD alipoulizwa jambo hili amesema Viongozi hao wanatia Aibu sana amepanga kuwaita Wazee ili kuwapatanisha ili kilichopatikana wagawane pasu ugomvi uishe.

Wengine walionufaika na Mipesa ya Mhindi huyo ni Mkuu wa Wilaya ya Bunda ambae amekuwa Mtetezi wake, Mwenezi wa CCM wilaya, Mkiti wa Vijana na baadhi ya wapambe wa Mitaani, wote hao wamekuwa wakipokea Mgao toka kwa Ndugu Suleimani Nassoro Agent wa Mpesa Bunda Mjini.

Uongozi wa CCM wilaya ya Bunda utavunjana Shingo kwa kupenda Rushwa, Umulikwe kwa jicho la jjina lako lenyewe chuki hii pia ni chuki unafanya hakuna ukweli wowote
 
Waende wakaulize Singida mjini faida /hasara za kuwa na wabunge wafanyabiashara wakubwa was kihindi kama wao walivyopata kuwa na MO Dewji.
Hawana hamu tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
RA/MO anakuja Bungeni, anajiorodhesha jina lake siku ya kwanza. Siku ya tatu anarudi Dar/N/S kwenye shughuli zake. Uchaguzi ukikaribia anawachimbia visima, vyoo vya shule, madarasa na madawati. Mnamchagua tena na maisha yanaendelea.
 
Back
Top Bottom