Uchaguzi 2020 Wafuasi wa Mgombea Zury Nanji, anayewania Ubunge Bunda Mjini Watishana kuuana kwa Risasi, Mmoja awekwa Rumande

CCM ijifunze na somo la kutowaingiza wafanyabiashara wakubwa kwenye siasa.
Watu watanunuliwa tu.
 


Duh!
jama katia mfukoni serekali na chama hapo bunda inaonekana.
 
CCM ni kansa ya nchi
 
Listi ndio nini?
 
Wauane maccm

Hayana maana altogether!
 
NA BADOOOOO MTASEMA YOOOTEE

MNAZIDIANA NDIO MNAPIGA KELELE MKIW AKWENYE MGAO SALAMA HAMJI HUKUUU MTUCHEKBISAA WAUWANE TU
 
Kuna kipindi nilikuwa India nikauliza kama waliwahi kumpata mbunge au mwenyekiti wa mtaa kutoka Afrika wakanishangaa sana

In God we Trust
hawa hawakutoka India wamezaliwa hapahapa TZ.huwezi kupata mmatumbi kazaliwa na kukulia India
walienda kufanya nini sweken huko!
 
Watajuana wenyewe huko huko!
 
Watatoana roho mwaka huu...
Ukakasi ni "huyu muhindi, huyu jaluo, huyu mwarabu... huyu mwislamu, huyu mkristo, ngozi nyeusi, huyu ngozi nyeupe, huyu..." je utanzania au uafrika ni weusi pekee?
Huu ni aina ya utumwa wa fikra ambao umetudumaza sana na unatutafuna na ndio faida ya fisiemu.
 
hawa hawakutoka India wamezaliwa hapahapa TZ.huwezi kupata mmatumbi kazaliwa na kukulia India
walienda kufanya nini sweken huko!
kama ambavyo matumbi na wamakonde walivyotoka Msumbiji au Wanyasa - malawi, Nyakyusa - Zambia, Wachagga - Kenya, waIraq - Elitrea nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…