Wafuasi wa Mwendazake wamemwaga ugali, na wa Mama wamemwaga mboga, sasa ni kuvujisha tu siri

Lisuu amesema nin kwani
 
Kwa msingi huo huo, bomu alilolipua Lissu Leo huenda nalo ni matokeo ya chuki baina ya makundi haya mawili na kundi husika limempa siri Lissu kama kulipiza kisasi kwa kuvujisha ile document ya. Waarabu.
Hii nilisikia zamani kidogo kwamba Mama magufuli alirudisha baadhi ya fedha kwa Chief hangaya alizokuwa nazo ndani.
 
Binafsi amkubali lissu ila akimgusa Magu narudi nyuma kinyumenyume. Sasa sijui tuko wangapi.
 

Ungeweka basi na hiko alichokisema lissu, sasa unaanza kutupa kazi ya kutafuta Lissu amesema nini.
 
Mkuu ulienda Chato ukaona jinsi watu walivyouawa Rubondo ? Magufuli hana wala hajawahi kuwa na wafuasi , ni porojo za Mataga .

2014 wakati wa Uchaguzi wa serikali za mitaa CHADEMA ilishinda vijiji vyote kikiwemo kijiji alichokuwa anaishi Magufuli , wakati huo akiwa Waziri mwandamizi , kuungwa mkono kaanza lini ?
 
Huyo evil kama siyo Devil atakuwa baba Yako kwanza hujawahi kuwa na adabu weye
 
Nia ya kusema uongo tunayo na uwezo wa kusema uongo tunayo mwisho wa kunuku
 
Thibitisha
 


*Kijakazi"
 
Kimsingi, kinachoendelea ndani ya chama hiki ni sawa na vita ya panzi faida kwa kunguru (wapinzani).[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jambo kuna thread nilichangia kuna wapuuzi wakaninanga sana mie nilitoa analysis kama hii kwamba hizi taarifa wanampa ili aropoke tu hajui namna ya kuzitumia. Huwezi leo kwenda Zanzibar ukaongee negatity against Samia ukadhani ndio watakupa umaarufu sanasana watakusikiliza na kukuona mwehu sasa ndio alichokifanya Lissu kule Chato.

Nilitarajia angehutubia ishu za katiba mpya, ufisadi wa ccm pamoja na mkataba wa DP, mambo ya magu angeyachunia hiyo sio vita yake kwa sasa maana anawasaidia team samia kupita ile ngome maana wao wakienda wanabutua kwamba fulani na fulani kwa kushirikiana na chadema ndio wanamchafua Magu ambaye ndio kiongozi watu wa huko wanampenda na ili upate kura zao lazima umkubali.

Hapo mchezo unakuwa rahisi sana. Lissu kuna documents anapaswa kuzipokea ila hizo vita asikubali kuzipigana sio yake maana yake ilishaisha na akasema amemsamehe.
 
Haina haja kuungwa mkono na waovu.
Hata Lowasa alikuja na kundi lake la hovyo.
 
Lissu kwa sasa hajui vita anayopigana. Hayuko focused. Kimsingi hajui aanze na nini kisha ni wakati gani amalize na nini
In short kule kanda ya ziwa amezingua sana mie hata kama simkubali Jiwe kiukweli strategy ya kwenda kuhiji kaburi ilikuwa safi sana ila baada ya hapo anaanza kumkandia mbele ya watu wa kulekule ambao ni wafuasi wa siasa za Jiwe aisee amechemka.

Ametumika kupigana vita isiyo yake jamaa alienda akawaeleze ishu za DPW na mambo ya katiba hii ilikuwa directly ni mtaji kwa sukuma gang sasa nae akapewa ishu za marehemu akajikuta anatumika kulipua sukuma gang ambapo hii vita ni makundi ya CCM yeye kawalainishia SSH group wakienda kule wanawataja waliovujisha kwa upinzani 😀😀
 
Juzi niliandika huu uzi

Kuna baadhi ya nyumba zina micro finance ndani yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…