kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Baada ya Lissu kutangaza nia na kuchukua fomu wafuasi wake na wanaharakati walianza kupiga mayowe na kuanza kumsifia Lissu kuwa ndie mwamba.
Mbowe hasitahili kugombea tena hata haijulikani nani aliwapa taarifa Lissu na akaanza mashambulizi ya kejeli huku akisema ndio demokrasia uongozi bora uwe na ukomo.
Phaaaap ngingoooo Zombie katokea muheshimiwa sana Mbowe imekuwa ni ndoto mbaya shambulizi baya la kushtukiza hawakutarajia wao walijua Lissu atapita kwa kura za ndio.
Sasa hivi wanaharakati na wafuasi wa lissu ndio utagundua hawana akili kila mmoja anajisemea tu mitandao yote wengine eti wanajitoa chadema ili hali hawajawahi kupiga kura wapo nje ya nchi wamechukua uraia wa nchi nyingine hawana sifa kichekesho ni kuwa Lissu yupo kimya ila wanashauri ujinga kwa lissu ahame aunde chama chake tujikumbushe watu hao hao hawajahi kutoka kwenye maandamano wala kupiga kura hata lissu alipowaita watoke barabarani.
Tulishuhudia lissu akiokolewa kupewa hifadhi kwenye chumba cha store ubalozi wa ujerumani hatukuwaona wanaharakati wakitoa msaada.
Swali ni je kwa akili zenu mbaya wafuasi wa Lissu mlitaka Mbowe ajitoe ili Lissu asipate mpinzani?
Ondokeni nyote muacheni Mbowe kwanza sio wana mageuzi ila watoa maoni mafichoni!
Subirini Lissu anyooshwe maana tamaa
Dj Mbowe wawekee wimbo wa mtoto kautaka maalumu kwa Lissu wanaharakati na wafuasi vimbembele!