Kwa nini Lissu atumie shangingi wakati wafuasi wake wengi ni masikini wanyonge walala hoi wala mihogo tu??Hili suala la Lisu kuchangiwa gari nimeona lisipite hivi hivi.
Pamoja na ubovu wote wa Samia ila wafuasi wa chadema ni wanafiki sana aisee.
Mpaka leo wiki inaisha Lisu hajafikisha hata sh. milioni 20 za kumnunulia gari!
Lisu ana wafuasi zaidi ya laki 7 twitter
Maranja Masese wafuasi laki 5
Maria Sarungi wafuasi milioni 1+
Lema wafuasi zaidi ya laki 8
Imagine wote hawa ameshindwa kupata milioni 500 ya kununua shangingi la Lisu?
Kama kila mmoja hapo akatoa wafuasi elfu 50 wangepataikana wafuasi 200,000 kisha kila mmoja angechanga sh. elfu 2000 wangeshapata milioni mia 4 za fasta tu.
Je, watu wamempuuza Lisu?
umaambwa uchang?Hili suala la Lisu kuchangiwa gari nimeona lisipite hivi hivi.
Pamoja na ubovu wote wa Samia ila wafuasi wa chadema ni wanafiki sana aisee.
Mpaka leo wiki inaisha Lisu hajafikisha hata sh. milioni 20 za kumnunulia gari!
Lisu ana wafuasi zaidi ya laki 7 twitter
Maranja Masese wafuasi laki 5
Maria Sarungi wafuasi milioni 1+
Lema wafuasi zaidi ya laki 8
Imagine wote hawa ameshindwa kupata milioni 500 ya kununua shangingi la Lisu?
Kama kila mmoja hapo akatoa wafuasi elfu 50 wangepataikana wafuasi 200,000 kisha kila mmoja angechanga sh. elfu 2000 wangeshapata milioni mia 4 za fasta tu.
Je, watu wamempuuza Lisu?
We chawa unatakiwa usikitike badala ya kukenua meno hapa, kwamba mamako kaua uchumi wananchi wake wamechoka hawana pesa mifukoni hata michango midogo inawashinda!Halafu kesho unakuta anaanza kupiga makelele kuwa wameibiwa kura wakati anajuwa ukweli kuwa hana watu wanaomuamini wala kumuunga mkono .
Nadhani hii inaonyesha kwamba wengi wa wanaomchangia ni maskini.Hili suala la Lisu kuchangiwa gari nimeona lisipite hivi hivi.
Pamoja na ubovu wote wa Samia ila wafuasi wa chadema ni wanafiki sana aisee.
Mpaka leo wiki inaisha Lisu hajafikisha hata sh. milioni 20 za kumnunulia gari!
Lisu ana wafuasi zaidi ya laki 7 twitter
Maranja Masese wafuasi laki 5
Maria Sarungi wafuasi milioni 1+
Lema wafuasi zaidi ya laki 8
Imagine wote hawa ameshindwa kupata milioni 500 ya kununua shangingi la Lisu?
Kama kila mmoja hapo akatoa wafuasi elfu 50 wangepataikana wafuasi 200,000 kisha kila mmoja angechanga sh. elfu 2000 wangeshapata milioni mia 4 za fasta tu.
Je, watu wamempuuza Lisu?
Shida ya huyu Jamaa ni kuwa, kwa yeye, kula sio kipa umbele, sio kitu. Angekuwa anapenda kula angekuwa Professor Marakani, lakini akarudi! Huyu kula hajui, ndio shida yake!Hata alipopigwa risasi, wengi walikuwa wanakesha baa tu wakilewa, Maranja yeye alikuwa anashinda na misokoto tu.
Lissu na yeye aangalie jinsi ya kula, watanzania hatuhitaji msaada wake kufanya maisha yetu yawe mazuri, kwanza tumezoea hali zetu
Hili suala la Lisu kuchangiwa gari nimeona lisipite hivi hivi.
Pamoja na ubovu wote wa Samia ila wafuasi wa chadema ni wanafiki sana aisee.
Mpaka leo wiki inaisha Lisu hajafikisha hata sh. milioni 20 za kumnunulia gari!
Lisu ana wafuasi zaidi ya laki 7 twitter
Maranja Masese wafuasi laki 5
Maria Sarungi wafuasi milioni 1+
Lema wafuasi zaidi ya laki 8
Imagine wote hawa ameshindwa kupata milioni 500 ya kununua shangingi la Lisu?
Kama kila mmoja hapo akatoa wafuasi elfu 50 wangepataikana wafuasi 200,000 kisha kila mmoja angechanga sh. elfu 2000 wangeshapata milioni mia 4 za fasta tu.
Je, watu wamempuuza Lisu?
Lissu anapenda sana mteremko.Binafsi Siwez kumchangia pesa mtu mwenye uwezo wa kupata hiyo pesa
Hata nyie ccm siwezi kuwachangiaLissu anapenda sana mteremko.
Wala hatuhitaji mchango wako ,maana wanaoomba kutuchangia ni wengi sana.Hata nyie ccm siwezi kuwachangia