Wafuatao kama vile nawaona wakijinoa kulamba milioni tano za Maxence Melo

Wafuatao kama vile nawaona wakijinoa kulamba milioni tano za Maxence Melo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wakuu hii ishu nimeipokea kwa furaha sana. Jana usiku sijalala usiku kucha nawaza niwajie na idea gani katika shindano letu.

Ila tambueni sisi na wafuatao sio wajinga tutakuja na ID nyingine coz hapa jukwaani tuna ma haters so kwenye kura panaweza pakawa sio Shwari...

Wafuatao najua tuko pamoja tunashiriki na tutapiga zawadi na dunia nzima itajua.

1. Infantry soldier - ndo maana katuaga kidizaini sio mchezo mjipange kumshinda
2. Paschal Mayalla - huyu jamaa naye ni mkali na anajua mengi sana sijui atakosaje
3. Sky eclat - imeisha hio lazima ajipange apambanie kombe
4. Ndege JOHN - huyu kuanzia Leo kwa siku 60 anaanza kusali kwa bidii mwenyezi Mungu amfanye kuwa genius sana apatiwe maono
 
Wakuu hii ishu nimeipokea kwa furaha Sana.Jana usiku sijalala usiku kucha nawaza niwajie na idea gani katika shindano letu..ila tambueni sisi na wafuatao sio wajinga tutakuja na ID nyingine coz Hapa jukwaani tuna ma haters so kwenye kura panaweza pakawa sio Shwari...
Wafuatao najua tuko pamoja tunashiriki na tutapiga zawadi na dunia nzima itajua.
1.Infantry soldier-ndo maana katuaga kidizaini sio mchezo mjipange kumshinda
2.paschal mayalla-huyu jamaa naye Ni mkali na anajua mengi Sana sijui atakosaje
3.sky eclat-imeisha hio lazima ajipange apambanie kombe
4.ndege JOHN-huyu kuanzia Leo kwa siku 60 anaanza kusali kwa bidii mwenyeziMungu amfanye kuwa genius Sana apatiwe maono.
Duh, Mshana Jr, Extrovert, RRONDO, yaani hao wazee wa magari nawakubali sana.
Halafu Kuna BAK, Emmanuel Kasomi, Mwifwa , Baba Swalehe , Tesla, na watu wengine wengi.
Kwa WANAWAKE Sasa, usije niona player, simtaji hata mmoja
DONALD Pompeo
 
@cocastic @Mtoto halali na hela

IMG_1283.jpg
 
Kuna member alisema katika shindano pascal akishiriki hatopiga kura.

Member mwingine akasema shindano litakua bomu kwakua members wengine watapiga kura au hawatopiga kwa kuangalia id ya mtu.
 
Sikilizeni, ukienda peke yako utafika haraka, tukienda wengi tutafika mbali.

Tujiunge watu watano tuandike kitu sensible, we win, tunagawana pesa. Siyo jambo geni hata websites kubwa watu wanashirikiana.

Ila msije PM kwanza. Natakiwa kudisable survival mode kabla sijadeal na ishu kama hii.
 
Wakuu hii ishu nimeipokea kwa furaha sana. Jana usiku sijalala usiku kucha nawaza niwajie na idea gani katika shindano letu.

Ila tambueni sisi na wafuatao sio wajinga tutakuja na ID nyingine coz hapa jukwaani tuna ma haters so kwenye kura panaweza pakawa sio Shwari...

Wafuatao najua tuko pamoja tunashiriki na tutapiga zawadi na dunia nzima itajua.

1. Infantry soldier - ndo maana katuaga kidizaini sio mchezo mjipange kumshinda
2. Paschal Mayalla - huyu jamaa naye ni mkali na anajua mengi sana sijui atakosaje
3. Sky eclat - imeisha hio lazima ajipange apambanie kombe
4. Ndege JOHN - huyu kuanzia Leo kwa siku 60 anaanza kusali kwa bidii mwenyezi Mungu amfanye kuwa genius sana apatiwe maono
Mke wangu Sky Eclat ameingiaje kwenye hili kafara la Chato? Mtoe kwenye list kabla sijachukua maamuzi magumu...

Jinsia yako ikibadilika usinilaumu...
 
Back
Top Bottom