kama aliweka pamba masikioni alivyoshauriwa na mzee warioba kwa jambo ambalo lingeepukika sizani kama ana muda we fikiria hata kutoa pole kakaza fuvu anajua yaliyokufa ni matanganyika hana mudaMama Dullah ana roho ngumu kama chuma, yeye kaamua kama mbwai na iwe mbwai. Hivyo haoni haja ya kumtoa kafara mtu yeyote.
😀Kwa Sasa linawezekana!
Makam awe vocal kama kule SADC kutuliza hali!
Kuepusha ICC kumkumba1. MONGOSO-GBPi
2. Tuesday Fire
3. Internal affairs boss.
4. The teeth-Boss mobimba Mombo na ngai
5..... Reserved for further updates.
This is coming sooner than anyone could have expected.
actualy the way international community ime react about this, lazima mbuzi wa kutoa kafara wapatikane, na si low level mbuziKwamba ndio watawajibishwa!? Hana jeuri hiyo labda atapiga danganya toto, ila atawapq ulaji kwingine, sababu michezo wameicheza pamoja hiyo
Unafikiri inawezekana kupooza hali ya hewa ikiwa top atabakia uyo kimama na Abdul wake?…..Watanzania kidogo watapoa ikiwa uyo kimama ata step down,…hao wengine haisaidii kitu…atazidi pelekewa moto tu…Kupooza hali ya hewa ila baada ya muda watapangiwa vitengo vingne.
Ndio yule dogo duli 😃Muongeze na mama sigomei UBER
Na4 wamuache tunamuhitaji1. MONGOSO-GBPi
2. Tuesday Fire
3. Internal affairs boss.
4. The teeth-Boss mobimba Mombo na ngai
5. Mama sigomei UBER
6..... Reserved for further updates.
This is coming sooner than anyone could have expected.
Kitovu cha uongozi kinaenda kuhama kutoka kwa wajukuu wa Tiputip na kwenda SongeaHuu Uzi nauandika nikiwa huku peramiho
1. MONGOSO-GBPi
2. Tuesday Fire
3. Internal affairs boss.
4. The teeth-Boss mobimba Mombo na ngai
5. Mama sigomei UBER
6..... Reserved for further updates.
This is coming sooner than anyone could have expected.
Una elimu gani?Kweli niko nje ya muda nimefatilia uzi wote, lakini sijafungua code bado 😢
Naona unamuiga kaka ako yuleeeThat's above my pay gare no further comment