Tetesi: Wafuatao ni mbuzi wa kafara. Soon mtasikia!.

Tetesi: Wafuatao ni mbuzi wa kafara. Soon mtasikia!.

1. MONGOSO-GBPi
2. Tuesday Fire
3. Internal affairs boss.
4. The teeth-Boss mobimba Mombo na ngai
5. Mama sitomea UBERđźš•
6..... Reserved for further updates.

This is coming sooner than anyone could have expected.
Hata kama wangekuwa kondoo wa sadaka hawajawahi kuwa na msaada kwa taifa hili zaidi ya hasara.Ukilinganisha pande zao hizo mbili jibu lina kuja wasingekuwepo taifa lisingepata hasara liliyopata.Jibu la mwisho ni hasara kwa taifa.China wangepita nao shaaa,ili taifa lisiendelee kula hasara!
 
1. MONGOSO-GBPi
2. Tuesday Fire
3. Internal affairs boss.
4. The teeth-Boss mobimba Mombo na ngai
5. Mama sitomea UBERđźš•
6..... Reserved for further updates.

This is coming sooner than anyone could have expected.
D9 ndio mpango mzima
 
Hili linaweza kuwa lina ukweli...wengi Mawaziri walioachwa wa nongwa kwenye wizara zao...Biteko kama N/waziri mkuu, Jenister mapicha yanayozagaa, Bashungwa mauaji na utekaji wa Mapolisi, Ndumbaro mambo ya Mahakama, Tax tuhuma za mamluki kutoka UG na Zenji
 
Back
Top Bottom