Wafuatao ni warembo waliotwaa Taji la Miss Tanzania ambao sasa wamejitengenezea maisha yao kupitia nguvu ya mashindano hayo

Mbona Theresia Shayo wa 1967 kaachwa
 
Diana Edward pia anajitahidi na udogo wake. Anasoma IFM kwa sasa na ana taasisi inaitwa Cut Alert Foundation, wanatoa elimu ya kutokomeza ukeketaji na hedhi salama.
 
Huyu faraja kota akimkumbuka Auntie Ezekiel anatamani naye angejaziajazia. Lazaro bana.
 
Angela Damas ni muajiriwa wa Chuo Kikuu Huria Tanzania... Pia ni mke halali wa Mb. Hussein Bashe... Taarifa zako kuwa nafanya kazi UNDP ni za uongo/...
Bashe naskia kaoa kimyax2 wa pili mbunge wa segerea.
 
Walimbwende umri umewakataa sasa kweli ujana maji ya moto wenye akili wametoboa hivi hilishindano bado lipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…