usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,898
Wema anazeeka kuliko mamiss wenzie wa zamani aseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnoo. Na ana nyota na wabunge. Si wajua ndoa yake ya kwanza aliolewa na yule mbunge ambae sasa hivi kafilisika kuna video yake fulani anaomba msaada kwa rais amsaidie matibabu
duh yupo huyo mbunge?[emoji4]unadhan nafatiliaga habari za maceleb? so MB ndo anaomba msaada au mbiki
Hahaha...Urembo bila akili zinazoumia ni sehemu za siri.
sijawah sikia hyo..Mbunge baada ya kufilisika. Mbiki aliachanaga nae
sijawah sikia hyo..
Anaitwa Mteketa. Tajiri wa enzi hizo.
Mbunge gani huyo aliyefilisikaMnoo. Na ana nyota na wabunge. Si wajua ndoa yake ya kwanza aliolewa na yule mbunge ambae sasa hivi kafilisika kuna video yake fulani anaomba msaada kwa rais amsaidie matibabu
Wema anazeeka kuliko mamiss wenzie wa zamani aseee
duh..simfaham..kwahyo mbiki ana mtoto m1 na bashe
MteketaMbunge gani huyo aliyefilisika
Jacklyn itakua aibu mkuuIts a good analysis kwa MISS HAO WAKO CATEGORY MBILI TOFAUTI ...
1,Farafa Kotta (Mrs Mh Nyalandu) na Jeniffer John (Mrs Inno Bashungwa na Saida Kessy wako category tofauti na ndoa zao safi…. plus Mwanukuzi majuzi…..
2, Group la pili wema na wengine sema wazi wana utata,,,,,tuseme ukweli hapa hahaha,,,,
Juzi Jackliene mbona hakuja kuaga mke Mkubwa hahaha
Mteketa
Sumari nae sio mchezo!Angela Damas my all time crush.
kuanzia 2005 walianza kupatikana mamiss kwa kigezo cha kumpa uroda ludengaMbona hujamtaja julitha..miss wa viti maalumu according to Mange [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...
Ila hata leo Happiness Magesse anabaki kuwa miss Tanzania bora kuwahi kutokea ambaye amefanikisha mambo makubwa kuliko wote ... alishinda the first ever BET humanitarian award kupitia campaign yake ya endometriosis na bado anaheshimka Afrika nzima na ndo maana anachaguliwa kuwa judge kwenye competitions kama hizo.. alikuwa katika list ya Tanzania icons na bado ni model anayefanya poa na heshima yake ipo juu
..
Im in love with the old lady's biography..
basi anapenda sana low profile life!mbona unashangaa Beef Lasagna... wakati wapo kwenye maisha ya familia zaid ya miaka 10 sasa..
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]genevieve mpangala hakuwahi kumaliza chuo huko st augustino
maana mwaka 2015 alijiunga na CBE dar campus akichukua bachelor degree in marketing lakin aliishia mwaka wa pili baada ya vimeo kumzidia
UMISS TANZANIA ULIPEWA GUNDU BAADA YA WEMA SEPETU KUSHINDA
waliofata baada ya wema wote hawajulikani hata wanafanya nini zaidi ya kudanga tu hapa mjini
hajachuja kwa maana ya kuendeleza upuuzi...... hafai kuwa kioo cha jamiiVery interestng kwa kweli.....wema ndo hajachuja mpka leo wala kukauka kwenye media....dooh