Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,767
kumbe Bashe ajilia vitamu...sikulijua hiliAngela Damas ni muajiriwa wa Chuo Kikuu Huria Tanzania... Pia ni mke halali wa Mb. Hussein Bashe... Taarifa zako kuwa nafanya kazi UNDP ni za uongo/...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe Bashe ajilia vitamu...sikulijua hiliAngela Damas ni muajiriwa wa Chuo Kikuu Huria Tanzania... Pia ni mke halali wa Mb. Hussein Bashe... Taarifa zako kuwa nafanya kazi UNDP ni za uongo/...
Duh 😳😳😳😳😳😳Angela Damas ni muajiriwa wa Chuo Kikuu Huria Tanzania... Pia ni mke halali wa Mb. Hussein Bashe... Taarifa zako kuwa nafanya kazi UNDP ni za uongo/...
mbona unashangaa Beef Lasagna... wakati wapo kwenye maisha ya familia zaid ya miaka 10 sasa..Duh 😳😳😳😳😳😳
#endometriosis ..i second you she is of her ownkind everMbona hujamtaja julitha..miss wa viti maalumu according to Mange [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...
Ila hata leo Happiness Magesse anabaki kuwa miss Tanzania bora kuwahi kutokea ambaye amefanikisha mambo makubwa kuliko wote ... alishinda the first ever BET humanitarian award kupitia campaign yake ya endotromiasis na bado anaheshimka Afrika nzima na ndo maana anachaguliwa kuwa judge kwenye competitions kama hizo.. alikuwa katika list ya Tanzania icons na bado ni model anayefanya poa na heshima yake ipo juu
..
Im in love with the old lady's biography..
Sijui kabisa!!mbona unashangaa Beef Lasagna... wakati wapo kwenye maisha ya familia zaid ya miaka 10 sasa..
Kilikuwa kituko cha MWAKA.Richa Adhia[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa mujibu wa dini gani??Angela Damas ni muajiriwa wa Chuo Kikuu Huria Tanzania... Pia ni mke halali wa Mb. Hussein Bashe... Taarifa zako kuwa nafanya kazi UNDP ni za uongo/...
sio mtu wa mtandao.. Hata Bashe nje siasa huwezi sikia habari zake..! Wajua maisha binafsi jinsi ya kuyaishiSijui kabisa!!
kila mtu na upande wake..! ni zaid ya miaka 10 sasa toka waanze maisha ya familiaKwa mujibu wa dini gani??
Vimeo gani?genevieve mpangala hakuwahi kumaliza chuo huko st augustino
maana mwaka 2015 alijiunga na CBE dar campus akichukua bachelor degree in marketing lakin aliishia mwaka wa pili baada ya vimeo kumzidia
UMISS TANZANIA ULIPEWA GUNDU BAADA YA WEMA SEPETU KUSHINDA
waliofata baada ya wema wote hawajulikani hata wanafanya nini zaidi ya kudanga tu hapa mjini
Thanks for the correction chief.lugha ya kibailojia hiyo [emoji4][emoji4][emoji4]#endometriosis ..i second you she is of her ownkind ever
Hii ndo maana halisi ya kujiweka low profile... katika miaka kumi hakuna hata alieshtuka katika hili, hongera kwaoAngela Damas ni muajiriwa wa Chuo Kikuu Huria Tanzania... Pia ni mke halali wa Mb. Hussein Bashe... Taarifa zako kuwa nafanya kazi UNDP ni za uongo/...
yah exactly its more of medical/pathological terminology but atleast you gave an insightThanks for the correction chief.lugha ya kibailojia hiyo [emoji4][emoji4][emoji4]
Binafsi nilijua kupitia jamaa yangu anafanya kazi na Angela, tofauti na hapo ningeishia kujua ya Faraja na Nyalandu au Mengi na Ntuyabaliwe.Hii ndo maana halisi ya kujiweka low profile... katika miaka kumi hakuna hata alieshtuka katika hili, hongera kwao
alikuwa na sup za first yr ..zikageuka cary foward alivyoingia mwaka wa pili na mwaka wa pili alishindwa kuziclear zikageuka repeate module so akasepa zake hakutaka kurepeate mwaka nahisiVimeo gani?
Angela Damas ni muajiriwa wa Chuo Kikuu Huria Tanzania... Pia ni mke halali wa Mb. Hussein Bashe... Taarifa zako kuwa nafanya kazi UNDP ni za uongo/...
Hussein Bashe huyu huyu?