Wafuatao ni warembo waliotwaa Taji la Miss Tanzania ambao sasa wamejitengenezea maisha yao kupitia nguvu ya mashindano hayo

Wafuatao ni warembo waliotwaa Taji la Miss Tanzania ambao sasa wamejitengenezea maisha yao kupitia nguvu ya mashindano hayo

Angela Damas ni muajiriwa wa Chuo Kikuu Huria Tanzania... Pia ni mke halali wa Mb. Hussein Bashe... Taarifa zako kuwa nafanya kazi UNDP ni za uongo/...
kumbe Bashe ajilia vitamu...sikulijua hili
 
Angela Damas ni muajiriwa wa Chuo Kikuu Huria Tanzania... Pia ni mke halali wa Mb. Hussein Bashe... Taarifa zako kuwa nafanya kazi UNDP ni za uongo/...
Duh 😳😳😳😳😳😳
 
Mbona hujamtaja julitha..miss wa viti maalumu according to Mange [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...

Ila hata leo Happiness Magesse anabaki kuwa miss Tanzania bora kuwahi kutokea ambaye amefanikisha mambo makubwa kuliko wote ... alishinda the first ever BET humanitarian award kupitia campaign yake ya endotromiasis na bado anaheshimka Afrika nzima na ndo maana anachaguliwa kuwa judge kwenye competitions kama hizo.. alikuwa katika list ya Tanzania icons na bado ni model anayefanya poa na heshima yake ipo juu
..
Im in love with the old lady's biography..
#endometriosis ..i second you she is of her ownkind ever
 
genevieve mpangala hakuwahi kumaliza chuo huko st augustino

maana mwaka 2015 alijiunga na CBE dar campus akichukua bachelor degree in marketing lakin aliishia mwaka wa pili baada ya vimeo kumzidia

UMISS TANZANIA ULIPEWA GUNDU BAADA YA WEMA SEPETU KUSHINDA

waliofata baada ya wema wote hawajulikani hata wanafanya nini zaidi ya kudanga tu hapa mjini
 
Vimeo gani?
 
Hii ndo maana halisi ya kujiweka low profile... katika miaka kumi hakuna hata alieshtuka katika hili, hongera kwao
Binafsi nilijua kupitia jamaa yangu anafanya kazi na Angela, tofauti na hapo ningeishia kujua ya Faraja na Nyalandu au Mengi na Ntuyabaliwe.
 
Back
Top Bottom